let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Kwasasa nipo mbali kidogo na Makazi yangu rasmi, huku kuna shughuli za kilimo once in a while uwa nakuja kucheki kinachoendelea.
Nina chumba kidogo na sehemu ya kupaki pikipiki niyotumia kwendea Shamba nikiwa huku.
Kila nikitaka kwenda Shamba ni lazima nivae Moto gears zangu. Kama vile jacket, grooves etc.
Sasa Jana Mchana wakati natoka Shamba kuna Mtu alinipigia Simu, kwakua nilikuwa nimevaa groves ikabidi nisimamishe Pikipiki ili nivue grove moja ili niweze pokea simu.
Simu ni touch ukiplace ukiwa umevaa groves simu haifankisheni.
Basi, nikaanza ongea na jamaa, later on nikaona Story ya jamaa imekuwa ndefu kuliko nilivyotegemea. Basi nikaamua niwe na Move taratibu huku ninaongea nae.
Ile groove niliyoivua nikaiweka kati kati ya mapaja yangu karibu na tenk la mafuta ili isidondoke. Nimekwenda mwendo wa Dakika kadhaa nikagundua ile groove niliyokuwa nimeiweka kwenye tank haipo, imedondoka.
Nikajisachi kila sehemu ilhali ninakumbuka kabisa niliiweka karibu na Tank la mafuta lakini sikuiona.
Nafsi ikaniambia nirudi nilikotoka uenda nitaiona, ila tayari nipo mbali kwasasa na nimechoka, nahitaji kupumzika.
Nikajisema Moyoni kuwa hii ni hasara, Ngoja nipite shop ni nununue grooves nyingne mpya. Siwezi Ride bike bare-handed na huu upepo wote.
Straight nikaenda kwa ile Shop niliyonunua hizo groves unfortunately nikakuta wapo out of stock, muuzaji akasema nirudi kesho kutwa (kesho) zitakuwepo.
Nikasema poa, baada ya hapo nikaiingiza kitaa ili nimalizie siku yangu. Nimekaa kitaa na wana na groove yangu Mkono mmoja hadi saa Nne usiku nikaenda nyumbani. Nimefika nikapaki bike sehemu yake. Nikaiingia ndani kulala.
Ajabu ni kwamba, Asubuhi leo baada ya kutoka kuoga ili niende shamba, nachukua grove ile moja iliyobakia nashangaa zinakuwa grove mbili, sio moja niliyoshinda nayo kutwa mzima.
Na hazikuwa parallel, bali pamoja.
Moja juu moja chini kwa kupangwa.
Nimefikiria kidogo nikatabasamu then nikazivaa nikaenda shamba.
Ila bado najiuliza, ni nini hiki na Je, nimefanya vibaya kuvaa groove iliyokuwa imepotea bila kuko- consult with my elders?