Tuambie madhara ya kulala na chupi
Mleta mada, makatazo yote uliyotoa yana msingi wa kisayansi isipokuwa hilo la kutolala na mke/mume wa mtu ni gumzo la kaunta ya baa kwenye stool ndefu! Hilo tuachie tunajua namna ya kulishughulikia.
njoo kwangu huku ntakuzoesha, na kanuni namba 5 pia tutaitumia.No. 2 umenigusa kulala na bra cjui ntaacha lini.
Heheheeeee ni kweli kabisa hiyo namba 6 maana mke wa mtu ni sumu
njoo kwangu huku ntakuzoesha, na kanuni namba 5 pia tutaitumia.
Heheheeeee ni kweli kabisa hiyo namba 6 maana mke wa mtu ni sumu
njoo kwangu huku ntakuzoesha, na kanuni namba 5 pia tutaitumia.