Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,592
- 19,853
Lete story kaka ilikuwaje kuwaje kwani๐Kwenye suala la ndoa mimi nitakuja kutoa ushuhuda wakuuu.....
Wakuuu achanane na masuala ya ndoa
Wakuuu achaneni kabisa
Mi juzi nimeambiwa ishu ya barua tu huo ugomvi wake aiseee alikuja kiamulia mama supu
Uko sahihi.Usishawishike kama bado haujajipata.Tafuta kwanza pesa ya kukimu ww binafs.Ndiyo uwez kujikimu na mwenzio. ndoa nzuri tatizo watu wanakurupuka.Na hao baadaye ndio wanaosema ndoa ni mbaya.
taleta mkuu ngoja mambo yawe sawa hapa aahhahhahaLete story kaka ilikuwaje kuwaje kwani๐
Usishawishike kama bado haujajipata.Tafuta kwanza pesa ya kukimu ww binafs.Ndiyo uwez kujikimu na mwenzio. ndoa nzuri tatizo watu wanakurupuka.Na hao baadaye ndio wanaosema ndoa ni mbaya.
Hakuna kitu humuBro Ww haujaoa na ulisema Hautakuja kuoa.
Hauko kwenye nafas ya kushauri chochote kuhusu kuoa.
Mwanamke unaweza mpa Kila kitu na bado ukachapiwa mbona wengi tu tunawaona wanaume zao wapo vzur lkn wanapigwa miti kama kawaNna jamaa zangu kama wawili,wake zao wote wanachapiwa,ila sababu kuu ni pesa tu, kwaiyo hili umesema kweli
Hakuna kitu humu
Vipi ukiwa stable BAADA ya MIAKA 50 , NDO unaona?Usishawishike kama bado haujajipata.Tafuta kwanza pesa ya kukimu ww binafs.Ndiyo uwez kujikimu na mwenzio. ndoa nzuri tatizo watu wanakurupuka.Na hao baadaye ndio wanaosema ndoa ni mbaya.
Wengine muda huu wanagombezwa na wake zao huku anakula ugali bila mboga Ila wakifika huku na tendo hapewii niamini mimiDaah, unaweza usioe kwa hizi comment ๐๐๐พ
Ona sasa nini hiki tena๐๐๐พ, ila wanawake ebu nipende magari basi wakuu๐Wengine muda huu wanagombezwa na wake zao huku anakula ugali bila mboga Ila wakifika huku na tendo hapewii niamini mimi
Kuchapiwa si swala la pesa!Usishawishike kama bado haujajipata.Tafuta kwanza pesa ya kukimu ww binafs.Ndiyo uwez kujikimu na mwenzio. ndoa nzuri tatizo watu wanakurupuka.Na hao baadaye ndio wanaosema ndoa ni mbaya.