Usikurupuke kuingia kwenye ndoa...

Ndoa nyingi nazozijua zilizovunjika ni za watu wenye mijengo yao na magari yao.

Huku nawaona wanaopanga chumba na sitting room, tunawaona mahaba kama yote hadi wanatukera wapenzi watazamaji, watoto wanaongezeka tu wanabanana humo.

Lesson: watu wanaofikiri pesa ni kila kitu si watu wazuri kuwa nao kwenye mahusiano. Bora umuache aendelee kutesekea hizo pesa anazoziabudu. Find someone with other more interesting things to think about. Jesus for example.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…