Usikurupuke kuanzisha mahusiano mapya, Jipe muda

Usikurupuke kuanzisha mahusiano mapya, Jipe muda

Kwahio hata good man nikitokea from nowhere itabidi ukatae kwasababu miezi mitano/sita haijapita?! Hizi formula zinawaponza.

Si lazima kuanzisha mahusiano moja kwa moja, mnaweza kuwa marafiki wa kawaida kwanza.
 
Kwani kila uhusiano ni lazima ndoa? kama mahusiano yako yote unawazawaza ndoa we jipe break hata miaka 20, ila kama hujali jiachie kula bata, na mbuzi kwa wingi.
 
There you go. Hakuna muda inategemea na ninakujaje sio. Nikija vizuri unasahau habari ya kusubiri miezi mitano.
Sio kwamba. Ukija na mbembwe zako ndo nutakubaliwa no. Kwa mwenye akili timamu atakwambia ntakujibu. Hiyo ntakujibu kwangu Mimi inaweza chukua hata mwaka sijakujibu.na wewe Kama ulikuja kwa tamaa. Unakata mguuu. Ndo kwaheriii tena.
 
Ni kweli swala LA kujipa muda ni zuri kuliko kupapalikia mahusiano mapya ni vema ule mda unatumia kujitasmni na kujilekebisha kasoro ulizo nazo na mapungufu.....wanasema subira ya vuta heri
 
Kiukweli naunga mkono sikuwahi kufikiria kama hiki kitu kinawezekana but kinawezekana na huwezi juta au kuumia kama yule aliyechukua maamuzi papo kwa papo
 
Ushauri mzr na wa maana sana. Kutokukimbilia kuanzisha mahusiano mapya Baada ya kuachana kuna faida nyingi Sana. Mm nina miez mitatu mpk sasa na sioni tatizo kila cku nazid kuimarika
 
Big NO. kwanza lazima niwe na wapenzi wawili simultaneously.
 
bff6db5505ac1c42dc4134b257a08ae6.jpg

Habari wana jamvi.

Hili tatizo la kuanzisha mahusiano mapya ghafla baada ya kuachana na mpenzi wako ,limekuwa likiwaumiza sana vijana/KE & ME.
Na hujikuta huanzisha mahusiano ya ghafla ili kuziba pengo la maumivu,

Bila kujua siku ya siku utakuja kuumia zaidi ya Mara mbili ya ulivyoumizwa mwanzo.

Jaribu kujipa mda wa kutosha,ili kujua ni wapi ulikosea au ni wapi mwenzako alikosea,

Ukishafahamu ni wapi ulipokosea kwenye mahusiano yaliyopita na kufahamu mapungufu ya mpenzi
Wako yalikuwa yapi,

Jipe mda angalau hata
Wa miezi mitano.
Hii itakusaidia kufanya maamuzi sahihi Sana.

Kuliko kukurupuka na kujikuta unakuja kupata maumivu ya moyo ya milele...
Na hakuna maumivu yanayotesa maishani Kama ya moyoni kwa ujumla..

Wala usikurupuke kuja jf na popote kuja kutafuta mchumba,

Sio kwamba kutopata. Utapata ila hatakuwa ni chaguo lako,
Bali ni kwa sababu ya kuziba pengo la mtu fulani tu.

Ndo maana Leo tunashuhudia migogoro mingi katika ndoa za baadhi yao... NYUMBA zinasiri nyingi Sana...
Kuondoka kwake yeye sio kwamba kaondoka
na maisha yako,hapana.

Jaribu kutambua thamani yako kwa ujumla.... Na huwezi kujua kwamba MUNGU kakuepusha na nini kwake..

JIPENDE,JITUNZE, JIHESHIMU, Atakuja wa kufanana na wewe
Pamoja na matendo yako.

Kumbuka MUNGU humpatia mtu mpenzi, mchumba,mume/mke wa kuendana nae,kulingana na matendo yako...

MBARIKIWE NYOTE [emoji120][emoji120]
Kuna KE mmoja nilimtokea akaniambia hayuko tayar kuingia kwenye relationship cause aliumizwa kwa hiyo akili yake kwa sasa haiko sawa nimwache tu ila tuwe marafiki kawaida.

Sasa mm nikakataa nikamwambia siwezi kuwa na urafiki na KE kama relationship haiwezekan bac kila mtu aendelee na hamsin zake. Nikakausha kimya, sasa yeye kila siku lazima anitumie sms anisalimie ingawa Mara nyingine najibu sometimes na mute ila yeye haachi.

After muda kupita nikaona isiwe shida nikamfuata KE mwingine akakubali tutastart relationship tena mtoto akanielewa sana until now.

Sasa nashangaa juzi tu uck yule aliyeniambia siwezi kuwa nae karudi kwa kasi eti ameshindwa kuvumilia kwa hiyo nisahau yaliyopita tuanze upya meanwhile mtoto wa sasa yuko vzr ndio kwanza tuna 3 weeks sasa sijamjibu chochote ingawa amekazana kutuma sms + kupiga cm
 
Kama aliumizw kweli huenda alikuwa na hofu. Pengine kaona unaweza kumfaa ndo maana kakubali. Ili kumwepusha na maumivu ya mapenzi mwambie unamchumba tayari. Usitake kumchezea ,kila la kheri
 
Back
Top Bottom