pirates lil
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 958
- 915
Mi sipo uko saivi
Na ambao hatujawahi tufanyaje [emoji51][emoji51]?![]()
Habari wana jamvi.
Hili tatizo la kuanzisha mahusiano mapya ghafla baada ya kuachana na mpenzi wako ,limekuwa likiwaumiza sana vijana/KE & ME.
Na hujikuta huanzisha mahusiano ya ghafla ili kuziba pengo la maumivu,
Bila kujua siku ya siku utakuja kuumia zaidi ya Mara mbili ya ulivyoumizwa mwanzo.
Jaribu kujipa mda wa kutosha,ili kujua ni wapi ulikosea au ni wapi mwenzako alikosea,
Ukishafahamu ni wapi ulipokosea kwenye mahusiano yaliyopita na kufahamu mapungufu ya mpenzi
Wako yalikuwa yapi,
Jipe mda angalau hata
Wa miezi mitano.
Hii itakusaidia kufanya maamuzi sahihi Sana.
Kuliko kukurupuka na kujikuta unakuja kupata maumivu ya moyo ya milele...
Na hakuna maumivu yanayotesa maishani Kama ya moyoni kwa ujumla..
Wala usikurupuke kuja jf na popote kuja kutafuta mchumba,
Sio kwamba kutopata. Utapata ila hatakuwa ni chaguo lako,
Bali ni kwa sababu ya kuziba pengo la mtu fulani tu.
Ndo maana Leo tunashuhudia migogoro mingi katika ndoa za baadhi yao... NYUMBA zinasiri nyingi Sana...
Kuondoka kwake yeye sio kwamba kaondoka
na maisha yako,hapana.
Jaribu kutambua thamani yako kwa ujumla.... Na huwezi kujua kwamba MUNGU kakuepusha na nini kwake..
JIPENDE,JITUNZE, JIHESHIMU, Atakuja wa kufanana na wewe
Pamoja na matendo yako.
Kumbuka MUNGU humpatia mtu mpenzi, mchumba,mume/mke wa kuendana nae,kulingana na matendo yako...
MBARIKIWE NYOTE [emoji120][emoji120]
Ambao hamjawahi kufanya nini?Na ambao hatujawahi tufanyaje [emoji51][emoji51]?
kumbuka hata mimi napumua si tuungane tufanye mipumuongoja kwanza nipumue
ni muhimu mkuu lakini inaendana na willing ya mtu hata mimi muda mrefu sana nashukuru mungu imani imesimama sana moyoni mwangu[HASHTAG]#Ngamiani[/HASHTAG] naona unakamatia fursa ..teheteheee
bado endelea kidogokumbuka hata mimi napumua si tuungane tufanye mipumuo
Hahaaaakumbuka hata mimi napumua si tuungane tufanye mipumuo
Ukifanya hivyo utapata chaguo la mileleYaaani umeongea kweli tupu ndio maana ñna miaka karibu 9 najishauri sitaki tena kuumizwa, nataka chaguo sahihi.
hmmm mama haya nipo outsidebado endelea kidogo
![]()
Habari wana jamvi.
Kumbuka MUNGU humpatia mtu mpenzi, mchumba,mume/mke wa kuendana nae,kulingana na matendo yako...
MBARIKIWE NYOTE [emoji120][emoji120][/b][/b]
ndo umejua leo? nina break ya miaka mitano
Wewe hata ukae miaka kumi......!ndo umejua leo? nina break ya miaka mitano
usiniunderstimate mkuu ohohoooWewe hata ukae miaka kumi......!
good man ana alama gani?Kwahio hata good man nikitokea from nowhere itabidi ukatae kwasababu miezi mitano/sita haijapita?! Hizi formula zinawaponza.
Nimekuoverestimate hapo...!usiniunderstimate mkuu ohohooo
Ukikutana nae utaona hio alama ila inatakiwa usiwe na negativity.good man ana alama gani?
Kweli kabisa, some zinawork, tena sana tu.ila some zina work out .. japo nyingi zinafeli