MakeboMnasaidiana kupika ubwabwa
View attachment 3599520
Msome tu!
Kuna mzee mmoja wa kichaga yupo hapa jirani, yuko hivi hivi kabisa. Anapenda kuvaa kofia kubwa la duara 😀"Usikubali kuzeekea nyumbani karibu ule mpunga "
View attachment 3599501
What is that 🤔Say no more bebe.🤑🤑.View attachment 3599475
Nilikuwa nakutafuta sana, njoo ule kilichopo msimu ujao tutalima wote.Gunia 15 tu?! We ni mvivu!
Ebu fafanua kidogo, ili wengi tuweze kuelewa.Kwa mara ya kwanza nmeona mada +ve JF baada ya miaka mingi sana
Ko msingi kiunoo?? 😂😂😂Awese kunesanesa
😂😂😂 khaaah"Usikubali kuzeekea nyumbani karibu ule mpunga "
View attachment 3599501
😂😂😂😂Mnasaidiana kupika ubwabwa
View attachment 3599520
Mtag plz, 😂😂😂😂Kuna mzee mmoja wa kichaga yupo hapa jirani, yuko hivi hivi kabisa. Anapenda kuvaa kofia kubwa la duara 😀
😀😀 unazijua hizo type eeeh? 😀Mtag plz, 😂😂😂😂
Ni mstaafu kutoka bank ipii? Woiiih
Tunza iwe mbegu ya msimu ujao mkuuNilikuwa nakutafuta sana, njoo ule kilichopo msimu ujao tutalima wote.
Eenh nilijua tuko wawili wacha niiondoe🤣Sasa ndio uweke picha za kukata mauno? 😊
Dahh najuta mimi😮💨What is that 🤔
Say no more bebe.🤑🤑.
Tulia kijana 👊
Gunia 15 tu?
Tena za mpunga😀