usikubali kuitwa hny,love,sweet kwenye ndoa!!utalia ukizoea

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Dear wanandoa
kumekuwa na matatizo mengi tunayapata kwenye ndoa za watu wakati wa kurekebisha matatizo yanapotokea
sasa kama mjuavyo mwenzenu nikiona kakuwamegea wala siitaji voda pesa mnitumie nawaachia mnajua kichwani
cha kufanya kwenye ndoa zenu..majuzi tulikuwa na tatzio moja tunatatu kuna wanandoa walioana awana hata miezi
mitano kwa kweli niliumia lakini mwishowa siku nilimuita yule binti nkamjuza unajua maana ya kukoma,,ama ukiambiwa komaa??
alipojibu ndio nikamkumbusha ukiwa girlfriend na boyfriend mlikuwa mnaitanaje..ooh hny sweet baby na kwenye ndoa akawa anaendeeleza
hayo hayo nikamwambia utalia mama yangu..siku hizi hiki kizazi cha mangaribi hadi dada zetu tunaitana sweet sasa wanaume
hupenda sana kutumia nafasi pale wanapopata...so anaandika sweethappy..akijua happy ni dadake kumbe ni mwenzawako anakusaidia

Ukiwa kama unakaribia kuingia kwenye Ndoa watchout yale majina mliokuwa mnaitana yatakugeuka utajuta maisha yako
yote...sasa basi tatizo tulilokuwa tukitatua lilikuwa neno "SWEET""any way najua jina hilo waweza tumia sehemu nyingi
maana yake unaijua mwenyewe..kaka huyu aanzaye na jina la D alisave jina la sweetrehema..huyu rehema alikuwa ni dadake
wa kuzaliwa kabisa..mke akawa anashangaa kila mida rehema kapiga anashida gan na mume wangu..ni uchungu sana huyu dada aliweka
wazi mpaka akahisi mumewe anatembea na dadake..na si mara moja wako wengi tu wanatembea na dada zao na wengine nawajua ni mataraji
wa kutupa...huyu dada akasema simu za usiku zikamchoka akiangalia sweetrehema...akaamua kumpigia rehema yani wifi ,kama mjuavyo
ndoa za wifi binti akaanza mbona wifi wampigia mumewangu kila usiku ,,jamani kunani,,,wifi akamsikiliza mwisho akamwambia mara ya mwisho
kuongea na mumeo ni wiki tatu na nusu zilizopita...nahisi kwa mara ya kwanza mawifi wanakuwa wastaarabu akamuaga na kumwombea Mungu wayamalize salama..so unaweza jua kama dada mtu anakutakia heri uyamalize salama anajua kumekucha huko

Akachukua ile namba akasave...keshokutwa yake akachukua simu ya mumewe na kupiga ikaandika SAVANNAH Butcher,,akamuuliza mumewe umejenga bucha hata atuambiani mume wangu..jamaa akakaa kimya baadae akasema naona umenichhoka...akamwambia sio naona tel ya savanah bucha...akaamua kupiga hiyo namba akapokelewa na hny nini tena usiku huu mkeo kimewaka..yule binti akavunja simu akaanza kukwaruzana na mwenyewe...ni huzuni sana alikuwa analia kila anapoongea wapendwa..na mi najua maana ya kupigwa kwenye mahusiano..anyway tuliomba na kuwaekeza wasameheane hakika tumetumia hadi maombi lakini binti ameamua kutorudi nyumban na kumwambia mzee ampelekee vitu vyake...

Hili liwe fundisho kwa wanandoa unapoamua kuoa ujue unabeba mzigo wako wa milele ..sasa basi kama bado una hamu na vile vichaka vya porini ni vyema usioe ujiandae kwa mengine then ukiwa tayari uoe..ni hili ni hata wale wanawake mnaofikiria kuolewa mapema kutoa gundu la hasha kamamunajua bado yale mananii yanakuwasha si vyema ukamchukua kaka wawatu alieamua kutulia na kutunza familia yake akakutana na shetan
ndani ya nyumba..ni bora ukisali mwambie Mungu hata kama nampenda kama ni shetan nionyeshe kabla ya ndoa ukiingia lile baba limekula kwako

Unaweza ona shetani alivyo mbaya anamfanya mtu anasave jina la dadake wa kuzaliwa lakini ni mtu anaezini nae na kumvulia nguo kilasiku sasa ki prophetic sign huy jamaa ana dhambi mbili kwanza kutembea na dadake na pili kutoka nje ya ndoa so anatakiwa kujirekebbisha sana

Kila la kheri
 
Piddy moja ya technique ya mwanaume player ni name calling...
atakuita wewe pamoja na wadogo, marafiki in the so called
Darling, Sweetie, Honey na the like ili wewe (mwanamke)
usishtukie pale anapokua anamuita mwenzio mbele yake....
 
asha dili
ni mbaya sana sana unajua kuna wengine wameandika malaya zao majina ya mama yao so unaweza ona lakini in spiritual anakuwa ajui kwamba anazini na mamake bila kujua na wengi wanaishia kuteseka sana kwenye ndoa m nimeona ndugu zangu wakaribu ndio maana kwenye ndoa bana aku...wacha aamue kuninyima na akininyima nitamuuliza nichagulie pa kwenda unapohisi salama
 
Wanaume wanatumia njia nyingi saaana za kufanya huo ufuska....

But hata hivo personally siwezi kataa mume wangu aniite majina sababu
tu hio... na pia siwezi mlazimisha thou in fact anakua na his own unique
way of addressing me... na ukitaka saana kufuatilia analala na nani huko nje
ni kujitakia pressure na headache, ni kusubiri tu hizo arobaini....
 
Umeoooooooooooooooooooooooooonaaaaaaaaaaa eeeeehhhhhhhh
mi nasema ndoa nyingi hivi sasa wakianza kufwatiliana hakika kila siku tutazika na shnikizo la damu pressure
ndoa nyingi zimejaa pressure na mashinikizo ya damu hata kabla awajaoana..yaani wakienda pale kanisan ama msikitini wanaenda kuidhinisha wamekubali kufa na pressure..inasikitisha sana enzi zetu za ujana enzi hizo 69 atukuwa na haya magonjwa
kazi kwako
 
Ashadii we acha tu ukiona mtu mzima anaishiwa maneno ujue kuna jambo.........kuna vitu vinachosha mpaka mwili kuvisikiliza.

ha ha ha.... Umenifurahisha dear.... kuna mambo binadamu anabuni na kufanya hata Mungu hajawahi yaona... ivo usijali kabisa...lol
 
Ashadii we acha tu ukiona mtu mzima anaishiwa maneno ujue kuna jambo.........kuna vitu vinachosha mpaka mwili kuvisikiliza.

Ndoa siku hizi bana.... mama muasherati anajiona kashinda.... baba nae hivo hivo

Technique za wizi wa kutoka nje zinavobuniwa....lol.. na hizi simu hizi ..... dah!
 
Piddy moja ya technique ya mwanaume player ni name calling...
atakuita wewe pamoja na wadogo, marafiki in the so called
Darling, Sweetie, Honey na the like ili wewe (mwanamke)
usishtukie pale anapokua anamuita mwenzio mbele yake....

Hizo sifa hata wadada wanazo. Utakuta anakuita wewe la'aziz, mahabubu, habibty, bwan'shee, na kadhalika. Sasa nao sijui ni ma player. Nachoweza kusema ni kwamba, uwe na mume au mke, nine times out of ten ujue kuna mtu au watu wengine anaoitana nao hivyo. Full usanii.
 
Sasa it is beta awaite hukoooo.... kuliko mbele yangu.... i can never condone,
sina uzungu wa kusema my Man amuite rafiki/dada/mdogo mwingine so callings of
Honey/Darling/Sweetie... eti nikachekea, hata tu mazoea ya kuvuka mpaka na nilowataja
hapo au usasa ror instance ku hug.... kwa kweli NO!!
 
Heheheee nimekupata dada. Na msimamo wako mzuri.

Bwan'shee wako yuko hapa JF?
 
Heheheee nimekupata dada. Na msimamo wako mzuri.

Bwan'shee wako yuko hapa JF?

NN nimejaribu in every way ni manipulate jibu liwe in a way haliitaji more qns....

but nimeshindwa.... naona bado niendelee tu kukwepa.... lol
 
nn nimejaribu in every way ni manipulate jibu liwe in a way haliitaji more qns....

But nimeshindwa.... Naona bado niendelee tu kukwepa.... Lol
umeonaaaaaaaaaaaaa wasije piga siku ban familia nzimaaaaaaaa
teeeeh teeeh am kiddin ma sis,,
 
Sasa it is beta awaite hukoooo.... kuliko mbele yangu.... i can never condone, sina uzungu wa kusema my Man amuite rafiki/dada/mdogo mwingine so callings of Honey/Darling/Sweetie... eti nikachekea, hata tu mazoea ya kuvuka mpaka na nilowataja hapo au usasa ror instance ku hug.... kwa kweli NO!!
Wasiwasi wako tu!If u trust him nothing matter!
 
Back
Top Bottom