Kauli tata alizowahi kuniambia huyu binti

DAVID PALMER

JF-Expert Member
Jan 19, 2020
285
1,448
1. Kevi (sio jina halisi) alijichanganya kunioa. Me nilijua tuu tangu ananioa kuwa amejichanganya. Kudumu na mimi kwenye ndoa inabidi awe na moyo mgumu. Sababu naweza tembea na ukoo mzima. Ndugu yake yeyote asioneshe interest, nampa.

Hii sentesi amenambie last two weeks. Na ndo imesababisha nkakumbuka mambo alowah nambiaga zaman. Sababu ni dogo nmekua nae mtaan huko mkoa. Nmempita 5yrs. Sio muongo na huwa haogopi mtu kusema lolote.

2. Zaman kipindi nasoma alikuja nitembelea mabibo hostel. Tulikaa pale kanteen akawa anaangalia mademu wanavotoka nakuingia hostels kwao block A na B. Akanambia, me sikupewa hii fursa ya kuwa huru kama hawa. Me mtoto wa mbwa nngekomesha. Niko home tuu lkn kila wiki lazima niruke geti wakat wa kwenda au kurud viwanja.

3. Me nlkua nadate na dada yake ambae alkua classmate. Kipindi kile kile niko chuo. Siku moja mida ya saa nne usiku nkaona namba ngen inapiga. Kusikia sauti nakuta sauti ya huyu binti. Kama amelewa hv ila amelegeza sauti. Ananiuliza niko dar sehemu gan, km nna muda niende nkaonane nae mwenge. Nkauliza kwan ww si ni fulan? Akastuka ndo akanitambua kumbe ni david. Then akanambia hakujua kama ni mimi.. yy ameiba namba ya bwana wa dada yake, ameona namba imeseviwa makopa kopa akaiba. Ila hakujua km ni mm. Akatumia namba ngeni ili nisiangalie mpesa ili akatest radha inayompa jeuri dadake.

Me hajawah nifanyia ujinga huo sababu alikua ananiheshimu sana.. nmemsaidia saana kwenye matukio yake kibao ya namna hii.
 
images (2)i.jpeg

PambanaZaidi/CottonandMore
 
1. Kevi(sio jina halisi) alijichanganya kunioa. Me nilijua tuu tangu ananioa kuwa amejichanganya. Kudumu na mimi kwenye ndoa inabidi awe na moyo mgumu. Sababu naweza tembea na ukoo mzima. Ndugu yake yeyote asioneshe interest, nampa.

Hii sentesi amenambie last two weeks. Na ndo imesababisha nkakumbuka mambo alowah nambiaga zaman. Sababu ni dogo nmekua nae mtaan huko mkoa. Nmempita 5yrs. Sio muongo na huwa haogopi mtu kusema lolote.

2. Zaman kipindi nasoma alikuja nitembelea mabibo hostel. Tulikaa pale kanteen akawa anaangalia mademu wanavotoka nakuingia hostels kwao block A na B. Akanambia, me sikupewa hii fursa ya kuwa huru kama hawa. Me mtoto wa mbwa nngekomesha. Niko home tuu lkn kila wiki lazima niruke geti wakat wa kwenda au kurud viwanja.

3. Me nlkua nadate na dada yake ambae alkua classmate. Kipindi kile kile niko chuo. Siku moja mida ya saa nne usiku nkaona namba ngen inapiga. Kusikia sauti nakuta sauti ya huyu binti. Kama amelewa hv ila amelegeza sauti. Ananiuliza niko dar sehemu gan, km nna muda niende nkaonane nae mwenge. Nkauliza kwan ww si ni fulan?? Akastuka ndo akanitambua kumbe ni david. Then akanambia hakujua kama ni mimi.. yy ameiba namba ya bwana wa dada yake, ameona namba imeseviwa makopa kopa akaiba. Ila hakujua km ni mm. Akatumia namba ngeni ili nisiangalie mpesa ili akatest radha inayompa jeuri dadake.

Me hajawah nifanyia ujinga huo sababu alikua ananiheshimu sana.. nmemsaidia saana kwenye matukio yake kibao ya namna hii.
Huyo ni Nyoka. Kama unatamani kufa kwa presha, kisukari na kujinyonga oa huyo mwanamke
 
Kabila gani huyo?
 
Back
Top Bottom