usikubali kuitwa hny,love,sweet kwenye ndoa!!utalia ukizoea

Yaani Ashadii we acha tu na tusipoitwa hayo majina tunalalamikaje na kujiona wanyonge?mie hapa hata sijui nisemeje maana mambo haya yapo na kila siku yanatukuta ila hatujifunzi kabisa .mie i prefer kumwita mme wangu najua hawezi ita mtu mwingine mke wng coz na yy kazoea wife
 
Wewe naona tuko pamoja kabisa....lol.... Umenifanya nivuke beyond imagination....
 
Mimi naona kuitwa darling, sweetii, honey and so on sio tatizo kabisa, hayo ni majina mazuri tu kwa wapendanao hasa wanandoa. Suala la mtu kusave sweet.... kwa jina la ndugu iwe mama, dada au yeyote ni ushetani tu ambao watu wanadhani kwa kufanya hivyo unam-fool mwanzako kumbe wanajidanganya wenyewe coz mwisho wa siku ndio unaumbuka kama hiyo kesi.

Kuna wengine wanatumia technique mbalimbali, mfano anaandika kwenye simu k, ., au wanted kumbe anamaanisha mtu wake wa nje, kweli Mungu na atusaidie coz tunamficha mwanadamu ambaye haoni kila mahali, ila na Mungu aonaye kila kitu na kila mahali inakuwaje?

Mara zote dhambi ndizo zinawafanya watu kuwa na ubunifu wa kishetani wakidhani ndio wame win kumbe ndio wanajimaliza wenyewe! God forbid!!
 
Majina ya sweet, honey, baby na mengineyo yatabaki palepale kwani kama ulishahalalishwa kupitia ndoa basi haina haja kuyakataa. Hata kama mmeo ana wanawake kibao huko nje, ni haki yako kuitwa hivyo na ni halali yako. Mimi binafsi naona wazi kwamba kwene ndoa unatakiwa umuombe Mungu sana juu ya ndoa yako bila hivyo kuna watu wamesimama pembeni yako wanasubir ndoa yako ivunjike waingie.
 
Kuna wengine hawaandiki majina full kwenye simu zao, utakuta anaandika viherufi fulani fulani tuuu, ujue umeliwa ukiona hivyo
 
Kuna wengine hawaandiki majina full kwenye simu zao, utakuta anaandika viherufi fulani fulani tuuu, ujue umeliwa ukiona hivyo

ha ha ha.... hii nimeipenda.... mwingine anaandika jina la kiume...
 
Nasema hivi,, I once was a beliver of true love and the marriage thing,, lakini kwa yaliyonipata kwenye hii ndoa pyuuu!!!! NDOA haina tofauti na siasa za bongo..... nasema hivi ntafanya CHOCHOTE moyo wangu utakacho, maana my true love is my moyo,, I love my self,, I love my selffffff, me myself and I, nikiwa na mtu ananisaidia tu kunipenda NAWAKILISHA.

BY THE WAY HUYO DADA NI JASIRI NA UAMUZI ALIOCHOKUA NIMEUPENDA.
 
pole mwali ulikuwa hujui? Ila ukimjulia huyohuyo namna ya kumchukukia utafaidi ndoa kama kawa,i once felt that way ila nilikaa na mmama mmoja hivi alinipa jinsi ya kuishi na huyu jamaa mpaka leo nipo tu.though kuna ambayo hayavumiliki hata ufanyaje mpz
Nasema hivi,, I once was a beliver of true love and the marriage thing,, lakini kwa yaliyonipata kwenye hii ndoa pyuuu!!!! NDOA haina tofauti na siasa za bongo..... nasema hivi ntafanya CHOCHOTE moyo wangu utakacho, maana my true love is my moyo,, I love my self,, I love my selffffff, me myself and I, nikiwa na mtu ananisaidia tu kunipenda NAWAKILISHA. BY THE WAY HUYO DADA NI JASIRI NA UAMUZI ALIOCHOKUA NIMEUPENDA.
 
Nasema hivi,, I once was a beliver of true love and the marriage thing,, lakini kwa yaliyonipata kwenye hii ndoa pyuuu!!!! NDOA haina tofauti na siasa za bongo..... nasema hivi ntafanya CHOCHOTE moyo wangu utakacho, maana my true love is my moyo,, I love my self,, I love my selffffff, me myself and I, nikiwa na mtu ananisaidia tu kunipenda NAWAKILISHA.

BY THE WAY HUYO DADA NI JASIRI NA UAMUZI ALIOCHOKUA NIMEUPENDA.

Ningependa kuyasindikiza maoni yako ni kibao hiki cha Beyonce kiitwacho Me, myself, and I. Ni kama vile alikuimbia wewe.

Beyonce anasema "Me myself and I, That's all i got in the end, That's what i found out, And it ain't no need to cry, I took a vow that from now on, I'm gonna be my own best friend"

Furahia.

‪Beyoncé - Me, Myself And I‬‏ - YouTube
 
Binafsi sioni tatizo la kuitana hayo majina maana unaweza ukaitwa au usiitwe na bado mtu akawa anakuzunguka.
 
Kama mtu ni mzinzi, mzinzi tu wala huwezi kumchagulia majina ya kuita. Ukimgundua we mwachie nafasi tu uende zako sioni haja ya kuendelea kukaa na mtu mwenye upendo wa kinafki! Its better to love urself first.
 
Yaani Ashadii we acha tu na tusipoitwa hayo majina tunalalamikaje na kujiona wanyonge?mie hapa hata sijui nisemeje maana mambo haya yapo na kila siku yanatukuta ila hatujifunzi kabisa .mie i prefer kumwita mme wangu najua hawezi ita mtu mwingine mke wng coz na yy kazoea wife
Atleast wale waliopo kwenye ndoa, lakini kwa wale wanaodate date.....(???)! Sharobaro vs sister du, wasipoitana haya majina nahisi huwa wanapata headache meeeeen!
 
ha ha ha.... Hii nimeipenda.... Mwingine anaandika jina la kiume...

afadhali aandike jina la kiume kuliko kuandika jina la babake ama kakake mzazi mbaya unakuwa unamfanya babako hawara yako huna adabu kabisa
 
Atleast wale waliopo kwenye ndoa, lakini kwa wale wanaodate date.....(???)! Sharobaro vs sister du, wasipoitana haya majina nahisi huwa wanapata headache meeeeen!

Kipipi mimi sio sista Du but ni heri mpenzi wangu aniite hivo....lol... Kuna raha yake.
 
afadhali aandike jina la kiume kuliko kuandika jina la babake ama kakake mzazi mbaya unakuwa unamfanya babako hawara yako huna adabu kabisa

Pddy hao wanakosea saana na wamelaniwa kabisa.... of all names utumie ya wazazi??
 
Back
Top Bottom