usikubali kuitwa hny,love,sweet kwenye ndoa!!utalia ukizoea

wamelaaniwa dadangu,,kuna mfanya biashara mmoja upande wa kuanzia ubungo mpaka kimara ana fedha mbaya alianza kuandika jina la dadake kwenye simu ikafika wifi na mkewe awapendani kabisa samahani kwa wanomjua naweka kama msaada mwisho wa siku wakavuliaana nguo wakamzaa mtoto mmoja anaitwa delta echo nira india sierra leo hii huyu mtoto ni BWABWA akuna asiemjua kimara nzima na mama yake alikuja pata ajali mbaya karibu na kufa leo hii ana mwakak na nusu anatembelea magongo mjini imebaki hadithi kwake...na shetan alivyo mbaya yeye na kakkake alimzalisha awapendan kabisa so mwenye kuweka majina ya ndugu wazazi utajua matatizo yake huto tajiri tancho lima
 
Kipipi mimi sio sista Du but ni heri mpenzi wangu aniite hivo....lol... Kuna raha yake.
Hahahahaaaa! Da Asha sijamaanisha kuwa we ni sister du ila nimelifikiria hili nikaona kwamba watu kama hao wasipoitana hayo majina wanahisi kama caring haipo!
 
Back
Top Bottom