Usiku wa Jumamosi ya tar 18 Oktoba, nilivamiwa na wezi nyumbani ninapoishi

Mkuu slim5 hakuna jambo jema na la busara kama hao wezi walivyokuachia bluetooth yako ikiwa salama,vinginevyo hata leo hii usingekua na nguvu ya kutupa taarifa hizi.Kikubwa napenda tu ufahamu kwamba spare zinanunulika zingine lakini bluetooth yako huwezi kuireplace.
 
Pole Kiongozi
Hayo mambo yasome tu hapa JF lakini wakishaingia kwako unaombea iwe heri tu.
Ukienda kituo cha Polisi pale Mbezi kwa Yusuf hizo kesi ni nyingi kupita maelezo
mbezi goba, mpiji majohe, mwabepande, na kibamba wanapora sana vifaa vya gari,

Mie waliruka ukuta wakaingia ndani tukiwa tumelala, nilipigwa tochi chumbani.
Namshukuru mungu nilipata ujasiri wa ajabu nikatoka na kupambana nao, nina tochi spot light za kuwindia nikiiwasha usiku panageuka kuwa mchana (zinauzwa pale tanganyika arms 89,400 nawashauri uinune zina zoom mwanga mkali sana unafika umbalia wa mita 500 unaona very clear). Nilipomulika nayo mmoja akachanganyikiwa nilipoizima hakujua pa kutokea akajitahidi kuruka ukuta huyo ndio alikuwa saizi yangu

Kipigo nilichompatia ndani ya dak 1 nimeshamvunja mguu umetoka kabisa, ndio nikaanza kuita mwiziii, wananchi kuja wakakata masikio yote, nilimuonea huruma nikazuia wasimuue, nikaenda chukua polisi kibamba tukampleka kituoni mbezi polisi,

Akapigwa pingu akapelekwa Tumbi Hospital baada ya wiki 2 nikaenda tumbi huwezi amini walikuwa hawajampatia matibabu yoyote, kijana aliponiona akalia sana anaomba msamaha kwani anakufa akijiona, ndugu na marafiki wamemsusa, tukamuuliza kwanini utoke tabati uje uibe kibamba?? alitupatia taarifa nyingi sana
Nilimuonea huruma nikaamua nimsamehe ila atakuwa mlemavu, kidonda kimeanza kuoza.

Nikamweleza mpelelezi awasiliane na familia yake waje wamchukue sina kesi nae.

aiseee!!
pole na hongera kwa ubinadamu na ujasiri wako
 
Pole, ila kama huna mpango wa kuwatafuta kwanin usifungue moyo ukawasamehe na ukaishi maisha ya aman yasiyokuwa na kinyongo. Kumbuka usiposamehe hapa dunian na mbingun husamehewi
wewe lete porojo tu kuna mambo mungu hatasamehe,hao hawapaswi kusamehewa.
'Tunarudishana Nyuma kwa kuibiana' 20%
 
pole ndugu yangu,mimi niliibiwa gari nzima tarehe 19 ya mwezi wa tatu,sitaisahau hii siku mpaka nakufa.
 
Pole Kiongozi
Hayo mambo yasome tu hapa JF lakini wakishaingia kwako unaombea iwe heri tu.
Ukienda kituo cha Polisi pale Mbezi kwa Yusuf hizo kesi ni nyingi kupita maelezo
mbezi goba, mpiji majohe, mwabepande, na kibamba wanapora sana vifaa vya gari,

Mie waliruka ukuta wakaingia ndani tukiwa tumelala, nilipigwa tochi chumbani.
Namshukuru mungu nilipata ujasiri wa ajabu nikatoka na kupambana nao, nina tochi spot light za kuwindia nikiiwasha usiku panageuka kuwa mchana (zinauzwa pale tanganyika arms 89,400 nawashauri uinune zina zoom mwanga mkali sana unafika umbalia wa mita 500 unaona very clear). Nilipomulika nayo mmoja akachanganyikiwa nilipoizima hakujua pa kutokea akajitahidi kuruka ukuta huyo ndio alikuwa saizi yangu

Kipigo nilichompatia ndani ya dak 1 nimeshamvunja mguu umetoka kabisa, ndio nikaanza kuita mwiziii, wananchi kuja wakakata masikio yote, nilimuonea huruma nikazuia wasimuue, nikaenda chukua polisi kibamba tukampleka kituoni mbezi polisi,

Akapigwa pingu akapelekwa Tumbi Hospital baada ya wiki 2 nikaenda tumbi huwezi amini walikuwa hawajampatia matibabu yoyote, kijana aliponiona akalia sana anaomba msamaha kwani anakufa akijiona, ndugu na marafiki wamemsusa, tukamuuliza kwanini utoke tabati uje uibe kibamba?? alitupatia taarifa nyingi sana
Nilimuonea huruma nikaamua nimsamehe ila atakuwa mlemavu, kidonda kimeanza kuoza.

Nikamweleza mpelelezi awasiliane na familia yake waje wamchukue sina kesi nae.

Wewe ndio mwenzangu kabisa mtu akiruka fensi akaingia ndani hatakiwi kutoka kama alivyoingia!!!!!!
 
Mkuu slim5 hakuna jambo jema na la busara kama hao wezi walivyokuachia bluetooth yako ikiwa salama,vinginevyo hata leo hii usingekua na nguvu ya kutupa taarifa hizi.Kikubwa napenda tu ufahamu kwamba spare zinanunulika zingine lakini bluetooth yako huwezi kuireplace.

Nimecheka kwa maumivu michepuko
 
Last edited by a moderator:
Pole Kiongozi
Hayo mambo yasome tu hapa JF lakini wakishaingia kwako unaombea iwe heri tu.
Ukienda kituo cha Polisi pale Mbezi kwa Yusuf hizo kesi ni nyingi kupita maelezo
mbezi goba, mpiji majohe, mwabepande, na kibamba wanapora sana vifaa vya gari,

Mie waliruka ukuta wakaingia ndani tukiwa tumelala, nilipigwa tochi chumbani.
Namshukuru mungu nilipata ujasiri wa ajabu nikatoka na kupambana nao, nina tochi spot light za kuwindia nikiiwasha usiku panageuka kuwa mchana (zinauzwa pale tanganyika arms 89,400 nawashauri uinune zina zoom mwanga mkali sana unafika umbalia wa mita 500 unaona very clear). Nilipomulika nayo mmoja akachanganyikiwa nilipoizima hakujua pa kutokea akajitahidi kuruka ukuta huyo ndio alikuwa saizi yangu

Kipigo nilichompatia ndani ya dak 1 nimeshamvunja mguu umetoka kabisa, ndio nikaanza kuita mwiziii, wananchi kuja wakakata masikio yote, nilimuonea huruma nikazuia wasimuue, nikaenda chukua polisi kibamba tukampleka kituoni mbezi polisi,

Akapigwa pingu akapelekwa Tumbi Hospital baada ya wiki 2 nikaenda tumbi huwezi amini walikuwa hawajampatia matibabu yoyote, kijana aliponiona akalia sana anaomba msamaha kwani anakufa akijiona, ndugu na marafiki wamemsusa, tukamuuliza kwanini utoke tabati uje uibe kibamba?? alitupatia taarifa nyingi sana
Nilimuonea huruma nikaamua nimsamehe ila atakuwa mlemavu, kidonda kimeanza kuoza.

Nikamweleza mpelelezi awasiliane na familia yake waje wamchukue sina kesi nae.

Msaada: Tanganyika arms iko wapi?
 
jitahidini mfuge mbwa,mwizi hapendi nyumba yenye mbwa maana inawaaribia tagert zao....
@jublant we ni jasiri
 
Labda utufafanulie iyo hongera kwa majambaz wakati jamaa kavunjiwa mageti na ashukuru Mungu jamaa hawajawafanyia kitu mbaya zaid ya ya kuibiwa alichochumia juani.

System imeruhusu matabaka yaliyopitiliza na ndio matokeo yake yanaanza kuonekana,ikiwa mtu hajala siku 2 na wewe una mafuta ya kuunguza oxygen huko barabarani unaegemeanini?
 
wewe lete porojo tu kuna mambo mungu hatasamehe,hao hawapaswi kusamehewa.
'Tunarudishana Nyuma kwa kuibiana' 20%

ukitenda maovu 99 kisha ukatenda jema 1 na kutubu na kuungama Mungu anayasahau maovu yote na kukuhesab kama mwenye haki. Ila kwel asiyesamehe na yeye hasamehewi kama vile sala ya Bwana isemavyo
 
Back
Top Bottom