Usiku wa jana sijalala, nimekesha ninalia

Usiku wa jana sijalala, nimekesha ninalia

2/2

Nilijaribu kujitetea kwa babu yake bila mafanikio yoyote, na babu akaniambia ninatakiwa nimsubiri mzee,
kwa kuwa ukweni ikanibidi niwe mpole. na kujipa moyo kwamba nikilala hapa si nitaenda kulala na mke wangu nitagegeda vyakutosha usiku wa leo.

kweli niliendelea kusubiri na mida ya saa moja jioni mzee alikuja.
tukasaliamana vizuri aleletewa vyakula akala nikasubiri kwamba akimaliza kula nitamwambia madai yangu kuhusu kumfata mwezangu.

alipomaliza shughuli zote nikamweleza akadai kwamba nirundi nyumbani niwafate wazazi wangu.

kilichonifanya nikalia pale nilipoabiwa kwenda kulala kwenye chumba ya vijana wakati nilikuwa na maandalizi yakugegeda. nimelia sana usiku wa jana. nampenda sana huyu mwanamke.

yaan mimi nikalazwe tofauti na mke wangu

2/2

polee! Ukiwa dunian lazma uwe na historia!
 
Wewe Endelea Tu Kuwa Unatoa Taarifa Za Yanayokukuta Au Kuyashuhudia,muda Si Mrefu Wataanza Kukuita Muongo,mimi Nimekoma Kuleta Habari Humu Nimebaki Kuchangia Tu Maana Waliniandama Sana,kila Nikileta Topic Naitwa Muongo Wakati Nikijua Kabisa Naandika Ukweli,nikajiuliza Sana,hivi Kuna Anayenilipa Hapa Kila Nikiweka Topic Hadi Niitwe Muongo? Nikaona Isiwe Shida Nimeacha Kabisa.
 
hata hapa ni uongo
 
acha kutudanganya basi hivi ni kweli mwanamke anayejua uchungu wa kuzaa anaweza fanya hivyo kweli
Nina mashaka huyo atakuwa mwanamke ****
 
Ila kwa tabia zako za hovyo za kujikweza lazima utakua ulisema kweli kuhusu hiyo mahari....
 
Ila kwa tabia zako za hovyo za kujikweza lazima utakua ulisema kweli kuhusu hiyo mahari....

kwan uongo, sema mtu ukimwabia ukweli anaumia, mbona hata mimi wazazi wangu huwasema vibaya.
 
Nadhan story itayofuata ni umeachika“

Nasubiri season unknown
 
Ifike mahali jf member tuache mizaha kama hii ya @shny land, sote tunajua huyu dogo shule kwake ilikuwa kazi kweli kweli.
 
kwani hiyo hamu ya kugegeda imekujia ukiwa ukweni, huko kwako ulikuwa huna hamu ya kugegeda?
 
Ifike mahali jf member tuache mizaha kama hii ya @shny land, sote tunajua huyu dogo shule kwake ilikuwa kazi kweli kweli.

Kama ni mtaalam wa kuichambua maudhui ya fasihi utakuwa umepata somo. lakn kama umekariri kwa mtu wa darasa la saba hauna cha kujifunza kwake, nakupa pole ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom