Usiku wa Bongo Flava umeniharibia maisha

Usiku wa Bongo Flava umeniharibia maisha

Wakuu ilibidi nikampime kabisa huyu malaya japo niliingia gharama ya kumlipa ila kwa sasa nina amani aisee naapa sitarudia tena kuuza mechi
 
Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii.

Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi ya kati na bia 3. Nilipata vaibu kinoma. Pembeni alikuwepo mdada fulani anacheza si nikajichanganya aisee hawa hawahitaji pesa ili mradi tu bia 1.

Ilipotimu saa7 huyu dada kanambia nisiende nyumbani wife ataleta noma. Basi nikakubali kwenda ghetoni kwake. Nimefika nikavua nguo vizuri cha ajabu uume hausimami. Shika shika awapi, ikabidi tulani kwanza. Ilipotimu saa8 nikamwamsha mara hii mnara ulikuwa imara nikavaa ndomu.

Nikaanza kuhangaika naye. Ghafla nikasikia imepasuka aisee alinikata stimu hapo hapo. Sasa wataalamu nipo hapa kuomba ushauri je, nitakuwa nimeukwaa?
R. I. P in advance!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom