Usiku wa Bongo Flava umeniharibia maisha

Usiku wa Bongo Flava umeniharibia maisha

Usijali OK okoka sasa utumikie muda uliobaki
 
Attachments

  • FB_IMG_1781616575839.jpg
    FB_IMG_1781616575839.jpg
    24.3 KB · Views: 6
Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii. Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi ya kati na bia 3. Nilipata vaibu kinoma. Pembeni alikuwepo malaya fulani anacheza si nikajichanganya aisee hawa hawahitaji pesa ili mradi tu bia 1. Ilipotimu saa7 huyu malaya kanambia nisiende nyumbani wife ataleta noma. Basi nikakubali kwenda ghetoni kwake. Nimefika nikavua nguo vizuri cha ajabu uume hausimami. Shika shika awapi, ikabidi tulani kwanza. Ilipotimu saa8 nikamwamsha mara hii mnara ulikuwa imara nikavaa ndomu. Nikaanza kuhangaika naye. Ghafla nikasikia imepasuka aisee alinikata stimu hapo hapo. Sasa wataalamu nipo hapa kuomba ushauri je, nitakuwa nimeukwaa?
Hujaukwaa, Ondoa wasiwasi kabisa.
 
Huwa vijana mnajidanganya na ndomu. Unavaa ndomu hatua za mwisho wakati kabla ya kuvaa ndani ya dakika 30 ulikuwa unaipapasa na Mikono mitupu na kuingiza vidole eti unamwamdaa? unaandaa Malaya mmekutana siku Moja?
 
Wanawake wa bar nimepiga sana,, zaidi ya miaka kumi zilikuwa ndio mboga zangu,, na si wote nilitumia mipira wakati mwingine peku tu hasa pombe zikiwa zimekolea kichwani,, lakini Mungu ni mkuu sana mpaka leo niko Negative.. Usihukumu mtu kwa kazi yake anayofanya ni kweli upande ule risk ni kubwa zaidi lakini hata hao watoto wa chuo tunaowaona salama na wao pia wengi wameungua,, mrudie Mungu na uache kunywa pombe kupitiliza bila kampani ya marafiki wenye akili,,
 
Kivipi mkuu
Vema.
Hongera kwanza, unajua kujilinda.
Pili, Condom kupasuka accidentally siyo kigezo cha kuupata. Mwanaume kuupata huwa ni ngumu kidogo... Unless kama baada ya kupasuka, mliendeleza mechi hvyohvyo pekupeku mda mrefu deliberately, kutokana na Vibe....

Lakn kama hamkufanya hvyo, we tulia tu, agiza bia zako hapo na size ya kati kwa Amani kabisa leo J2.
 
Wanawake wa bar nimepiga sana,, zaidi ya miaka kumi zilikuwa ndio mboga zangu,, na si wote nilitumia mipira wakati mwingine peku tu hasa pombe zikiwa zimekolea kichwani,, lakini Mungu ni mkuu sana mpaka leo niko Negative.. Usihukumu mtu kwa kazi yake anayofanya ni kweli upande ule risk ni kubwa zaidi lakini hata hao watoto wa chuo tunaowaona salama na wao pia wengi wameungua,, mrudie Mungu na uache kunywa pombe kupitiliza bila kampani ya marafiki wenye akili,,
Afuate ushauri huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom