Tafuta nyumba ndogo ackuzingue huyo.kw wanandoa asubuh na ucku.cku za wikiendi mara3 kw cku.
bwana eee mi nona anakupa lakini we hutaki kufanyia kazi...
kakupa mgongo sawa wewe nunua massage oil (mpe massege)
ukitoka kazini usisubirie mpaka usiku.... anzia jikoni wakati anapika(kama unawatoto waambie wakafanye homework)
au saa nyingine mwambie aje akusugue mgongo...
baada ya kazi huo ndo muda safi wakuingia vitani lol
KUBAKA ---- hata kama umeoa ni dhambi
penzi nikubembeleza na si kulazimisha.....
hilo swali la mara ngapi kwa siku mmmmhhhh
kama ukiweza asubihi na jioni fresh lakini mara moja kila
siku ni vizuri....
one more thing to make ur sex life exciting whenever u and ur partner a free
just go for it..... hakuna sehemu iliyoandikwa ni usiku tu....
Ebo! hii ni comprehensive.bwana eee mi nona anakupa lakini we hutaki kufanyia kazi...
kakupa mgongo sawa wewe nunua massage oil (mpe massege)
ukitoka kazini usisubirie mpaka usiku.... anzia jikoni wakati anapika(kama unawatoto waambie wakafanye homework)
au saa nyingine mwambie aje akusugue mgongo...
baada ya kazi huo ndo muda safi wakuingia vitani lol
KUBAKA ---- hata kama umeoa ni dhambi
penzi nikubembeleza na si kulazimisha.....
hilo swali la mara ngapi kwa siku mmmmhhhh
kama ukiweza asubihi na jioni fresh lakini mara moja kila
siku ni vizuri....
one more thing to make ur sex life exciting whenever u and ur partner a free
just go for it..... hakuna sehemu iliyoandikwa ni usiku tu....
Hii naona inahitaji mkataba, tukipanga kupata mtoto kwa miaka mitatu, inamaana mnafunga ndoa, halafu mnafanya baada ya miaka 3. na kama mmepanga kuzaa watoto watatu, basi mtafunga ndoa na kufanya mara tatu tu.kwa wanandoa mfanye pale tu mnapotaka kupata mtoto TU:yield:........ASIYE OWA ASIFANYE KABISA.....IKIMBIENI ZINAAAAA VIJANA
Wataalam,
Baada ya kupata mamboz katika threaad zilizopita na zikafanya kazi vema, Ngoja tena JF iendelee kujenga Ndoa.
Hapa tena kuna hili; Usiku umeusubiri kwa hamu kubwa, umefika. Mmefiak 6 x6 , na unahitaji kula tunda, lakini mwenzio kakugeuzia mgongo, na kumanzishia anajigeuza kwa kutotaka. Je ufanyeje??
Au ni ruhusa kubaka??? (hasa kama mkeo)
N la pili je, Kwa afya Ni mara ngapi kwa Siku/ au kwa wikki?? au kila siku
mara moja kwa wiki mbili so marambil kwa mwez
zngatia giza totoroooooo (only night)na chumba kifungwe wakat mna doo
Najaribu kusoma between line hapo!!!!huo mgongo huo.......................