Usiku silali nakuota wewe

Usiku silali nakuota wewe

mitongozo ya kizamani

Barua za aina hiyo zilikuwa hazikosi na 'poda' (powder) inayonukia sana...halafu mkikutana mnaangaliana tu, ukimpa hela kidogo anakurushia na anaweza kukuacha kwa kuwa umeona kuwa au umemfanya kuwa ni 'mhuni' au neno lile lilizoeleka zamani 'malaya'...
 
Ndio zilikuwa zetu. ..jamaa yangu aliwahi kujibiwa kama anamuona kwenye glass ya maji ayamwage asinywe

tehtehtehte....Huyo ndiye mshana jr bwana...sasa ilikuwaje aliendelea na kauli za aina hiyo???
 
Daaaaah, nakumbuka mbaaaali sana mwanzoni mwa miaka ya themanini aseeeee
 
Ha ha ha umenikumbusha mbali,barua inakaa kwenye mfuko wa kaptula mpaka inachakaa..
 
Back
Top Bottom