Usiku mwema!

Usiku mwema!

kapistrano

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,244
Reaction score
455
Wana wa chit chat baada ya mizunguko ya mchana kutwa sasa ni muda wa kupumzika na kutafakari ya kesho mungu akipenda kumbuka usingizi haukopwi love you. Good night
 
Usingizi mzuri ni wa kuanzia saa nne,lakini mi nipo Big L mpaka muda huu
 
Mapema hivi hata kama ndio tafakuri kuna kila dalili huna kitekenyo usiku huu.... Sisi wenye vitekenyo tunachelewa sana kulala.....
 
Mapema hivi hata kama ndio tafakuri kuna kila dalili huna kitekenyo usiku huu.... Sisi wenye vitekenyo tunachelewa sana kulala..... Haya lala ukuwe
 
Wana wa chit chat baada ya mizunguko ya mchana kutwa sasa ni muda wa kupumzika na kutafakari ya kesho mungu akipenda kumbuka usingizi haukopwi love you. Good night

Unalala saa tatu?karibu Dar,ni PM kesho twende Kona baa,tehee heeeee.
 
Jamani hata mm pia nawatakia usiku mwema na wale wakeshaji nawatakia mkesha mwema
Bwana awe nanyi hadi kesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom