na ww pia kaka,Wanao mjua CONTROLA na wasiomjua wote muwe na usiku mwema
Enjoy your night!
Usiku mwema kwako pia mumie karena bila kumsahau cha utundu Depal na cha ukorofi troublemaker na cha upole Da'Vinci,
Asante sweetie, usiku mwema nawe pia. Hakika kusali ni kitu muhimu asante kunikumbusha leo kwenye maombi nitakujumuisha pia.Usiku mwema kwako pia mumie karena bila kumsahau cha utundu Depal na cha ukorofi troublemaker na cha upole Da'Vinci,
Msisahau kusali dears!
Aisee sisi wengine tuna nyota ya bundi bora nijinanii Mwenyewe
Aisee sisi wengine tuna nyota ya bundi bora nijinanii Mwenyewe
Kumbe Shukrani mamiii😍😍