mmh jamani sasa tutaparty vipi jamani
au wewe ni mpenzi wa zile zetu za kurushiana mito?
kitanda kulala jamani!
na kweli, nakuona ulivyo shangaa mandhari ya kitanda! do you know what next?
we mtoto unakula wewe!!
si ushakua na ktumbo cha ugali wewe!
wenzio wana vya chipsi!
hebu shushia hilo dongo na hii