Usiku huwa kuna ninii

hiyo ni stori ya kweli au kutunga
 
Mimi kwa ufahamu wangu kuna viumbe wa usiku wanakusumbua ingawa sifahamu kwa lengo lipi.......

Jaribu kulala na kitabu cha imani yako upande wa kichwani kwako.....

Hii njia imesaidia watu wengi sana....
Nakuunga mkono hata mimi nkiona sijielewi nafanya hvyo

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni process za kupoteza fahamu, roho kuacha mwili, mtafute jamaa flani anaitwa mshana jr, mtaalam wa haya mambo atakusaidia.

cc: mshana jr

_ where ever you are remember me_
Ina maana huwa nataka kufa? Nishakataa hiyo roho sifi sasa hivi mimi
 
Sawa
 
Kabisa mkuu, mambo ya ushirikina mimi huwa siyapi nafasi kabisa, kwanza sijui kama bado yana uzito huo aliouta huyu ndugu,, kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema

WE ARE THE RESULT OF OUR THINKING AND THOUGHT

Sent using Jamii Forums mobile app


kwanza sitakagi ukaribu na mtu anaefikiria maushirikina aic! atanichosha tu mie! tuiachie nature jaman ifany kazi yake! smtym ubongo unakuwa umechooooka sana lazima mauza uza yakutokee! huyo jini mahaba ananifikaje kwanza! ananipapasa nikiwa wapi!hahahahahahha
 
Pole mkuu,,,! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ata wao wanayatambua vyema wanaushirika vyema kabisa..! Husikii Shekhe majini kila kukicha anatamba channel 10.
Kwa hiyo nianze kulala na biblia eti,,
 


Yasikutishe, ya kawaida... kuwa serious kukemea kwa jina la Yesu yanapaswa kutii..hakuna namna. Jina le Yesu likitamkwa vizuri na kwa imani na kujiamknini lina matokeo ya ajabu
 
Yasikutishe, ya kawaida... kuwa serious kukemea kwa jina la Yesu yanapaswa kutii..hakuna namna. Jina le Yesu likitamkwa vizuri na kwa imani na kujiamknini lina matokeo ya ajabu
Sawa
 
Pole mkuu,,,! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ata wao wanayatambua vyema wanaushirika vyema kabisa..! Husikii Shekhe majini kila kukicha anatamba channel 10.


bigmind niache as jaman! nna kaka angu huwa namwita sheikh majin!kuna siku niliahatika kumskiliza ukweli nilianguka chini kwa kucheka jaman! hahahaha yaaan anaongea vitu ambavyo sijui vipo KUZIMU! hahaha as bro angu anamjulia sauti akiamua sasa uwiii utacheka ufe!

bdw hiv chanel 10 ni ya kimajini jini sijui! ukifungua unakuta na madude ya ajabu mara nyota,mara majini wazuri ni wapi hahahahahaha! nashukuru MUNGU kuzaliwa christian! maana ningekuwa namhoji IMAM maswal ya kukeraaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…