Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Jamanii muda si mrefu tumepitiwa na tetemeko la ardhi hapa Ushirombo

Ni tetemeko Dogo limedumu kwa sekunde kadhaa

Tuwaombee wenzetu wa Bukoba/Kagera na Chato.

1DA04685-04C6-4CF2-8C26-940F90C190B1.jpeg

18654EC7-777B-49C0-A72D-3FBA77E033D6.jpeg
 
Vip nyie uko. Saa 00:8

Lilikuwa dogo na limedumu kwa sekunde kama 30.

Tufahamishne uko ulipo kama limepita salma bila madhara yoyote.

Update.
Data kutoka google limepita tetemeko NE of Tanzania lenye Magnitude ta 4.5.

Na baada ya dakika 10 tetemeko la ukubwa ule ule likatokea Kajikstani.

Sasa tunasubir after shock...masaa, siku hata wiki.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom