DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,392
- 2,599
Ha ha ha wanachekesha kabisa . Ukigusa dini au kabila kwa watu ambao wamevifia hivi vitu unakuwa umegusa mioyo yao lazima joto la jua ulione[emoji1]Jamii forum humu kuna watu wapo smart sana katika mijadala mingine ila linapokuja suala la dini/Imani jinsi anavyotukana unabaki kujiuliza hivi ni huyu kweli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]