doh! nikajua nimeokota tunda jangwani.
Hahahaaaaaa sio dawa zote ni chungu nyingine tamu kama syrup za Coughing.
hata wanaume wangekuwa wapole kama saa ya kuomba uhausi mbona life lingekuwa simple tu.
ni kwel labda na we ubinuke
Tena nyinyi mnaoingiza na kimombo chenu hicho ndio kabisa mkikileta chumbani halafu unakuta jamaa hakipandi anafikiri unamdharau, anakulenga tu bila hata ya kukuandaa.
Nilijua wake wote ni watiifu mbishi peke yangu. Safiiii.
utulivu wako ni wakati wa bakora sio
na ukileta usumbufu utafanya hii
View attachment 132845
weee...ntake radhi
ha ha ha ha jmani aya bwana