miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
mmh me siyo msikivu huwa nabisha bisha :sad::sad:
hujampata mwanaume sahihi.
Ndio maana unakosa uhondo 100%, hahahaahaaaa....unatakiwa utulie ulambe dawa mwana.mmh me siyo msikivu huwa nabisha bisha :sad::sad:
Ngumu kuamini lakini kama ni kweli duuuh basi JF tumevamiwa.ndiyo mkuu, kwa hisia zangu na utalamu wa kugundua uandishi, hakika hii ni ndume.
Mkuu Mapi, kuna mjadala huku, JEKI amenihakikishia kwamba DEMBA ni ndume tofauti na avatar yake. Je ni kweli?
unaposema baadae ndo kusema tutafutane au?
Ndio maana unakosa uhondo 100%, hahahaahaaaa....unatakiwa utulie ulambe dawa mwana.
hahahahaha...nimeipenda hii ila wapo wengne ukimwambia geuka huku, au binuka hvi huo mtiti wake na stimu ztakata (kwao kubidukabiduka wanaona dhambi)
Hahahaaaaaa sio dawa zote ni chungu nyingine tamu kama syrup za Coughing.dawa ni chungu loh... ungeniambia nilambe utamu sawa