Usikivu huu wa wanawake, uwe endelevu.

Usikivu huu wa wanawake, uwe endelevu.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Katika tafiti zangu nimegundua kuwa kiwango cha juu cha usikivu cha wanawake ni wakati wa tendo la ndoa, katika tendo hilo mwanamke anakuwa msikivu kuliko kawaida, ukimwambia lala hivi analala, ukimwambia geuka anageuka, kiubavu naye yumo tu, twende chini hayaaa, inama kweli anaitikia hadi kuna wakati unamhurumia kwa jinsi unavyomshughurisha naye akitii. Mgogoro unaibuka baada ya kutoka hapo, mwanamke anakuwa kichwa ngumu, ukimwambia vile wala hataki, mke wangu, mpenzi wangu hebu niandalie chakula, wapi! Hakika usikivu ule wakati wa mamboz ungekuwa endelevu ndoa/mapenzi mengi yangedumu sana.
 
si wote mbona mimi huwa niko msikivu muda wote chezea mwanamke wewe

kwa hiyo avatar yako inakulazimu uwe msikivu, mwanamke gani atakutaka wewe? na ukimpata lazima uwe msikivu usije achwa.
 
mh wote sawa tu hata wanaume nao ni majanga matupuuuu
 
kwa hiyo avatar yako inakulazimu uwe msikivu, mwanamke gani atakutaka wewe? na ukimpata lazima uwe msikivu usije achwa.

hebu ona unavyobwabwaja tu bila kuona mbali watu tunaishi kwenye ndoa kwa uaminifu na ukiwa mwaminifu mwanaume mwanamke anakuwa na yeye na uoga
swala la avatar hiyo ni hobi ya mtu kwa kuwa wewe hujaweka ndio maana unatoa comment ambayo haina mbele wala nyuma
japo tunatumia avatar mbaya na zingine za kutisha lakini utu wetu uko palepale tu
 
Inaonesha mkeo ni mjeuri sana!! Na unamlipizia wakati wa majamboz ! Duh!
 
hata wanaume wangekuwa wapole kama saa ya kuomba uhausi mbona life lingekuwa simple tu.
Nikuombe nini wakati ni mali yangu tena nimekuhangaikia kukupata mpaka soli ya kiatu iliisha! Ni kulenga tu ukibisha nakurudisha kwenu ukajifunze na ukifika huko baba na mama yako wanakutoa mkuku kwa nini umeshindwa nyumba kwa kitu kidogo kama hicho. Tena wakisema kwa ukali "Haya nenda kampe mumeo haraka"
 
kwa hiyo avatar yako inakulazimu uwe msikivu, mwanamke gani atakutaka wewe? na ukimpata lazima uwe msikivu usije achwa.
Ukisoma signature ya WATU8 utapata jibu la hoja yako. Kuna watu wameweka avatar za Rihana humu, uwaone ana kwa ana sasa ndipo utakapojua kwanini napingana na hoja yako.
 
Kila mtu anatafta raha hapo,mda wa kubishana haupoo
 
Ukisoma signature ya WATU8 utapata jibu la hoja yako. Kuna watu wameweka avatar za Rihana humu, uwaone ana kwa ana sasa ndipo utakapojua kwanini napingana na hoja yako.

nimekupata vizuri sana, avatar feki na mbaya zaidi mtu mwanaume kaweka ya mwanamke, sijui wanapenda kuwa wanawake, hata sijuagi.
 
Inaonesha mkeo ni mjeuri sana!! Na unamlipizia wakati wa majamboz ! Duh!

mke ulinipa wewe? au unataka siku nikitangaza kutafuta mke jukwaani nikose? acha kunichulia ndugu.
 
Inaonesha mkeo ni mjeuri sana!! Na unamlipizia wakati wa majamboz ! Duh!
Munkari usimpe kichwa kuwa anaishi na mke, umri wake bado huyu, anachofanya ni kuwa na kahawara ka siku moja au mbili tu.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom