grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Mkuu hapo ndipo hata mimi huwa sielewi, ni bora mwanamke anayeweka avatar ya kiume, kwani ni sifa kwao.nimekupata vizuri sana, avatar feki na mbaya zaidi mtu mwanaume kaweka ya mwanamke, sijui wanapenda kuwa wanawake, hata sijuagi.