Usikivu huu wa wanawake, uwe endelevu.

Usikivu huu wa wanawake, uwe endelevu.

ni kweli sisi wanawake ni wasikivu sana usikivu wetu unaenda na wkt, tukiambiwa usiku kaa vzr tunaachia zaidi miguu, tukiambiwa mchana tukae vzr tunabana.
 
Katika tafiti zangu nimegundua kuwa kiwango cha juu cha usikivu cha wanawake ni wakati wa tendo la ndoa, katika tendo hilo mwanamke anakuwa msikivu kuliko kawaida, ukimwambia lala hivi analala, ukimwambia geuka anageuka, kiubavu naye yumo tu, twende chini hayaaa, inama kweli anaitikia hadi kuna wakati unamhurumia kwa jinsi unavyomshughurisha naye akitii. Mgogoro unaibuka baada ya kutoka hapo, mwanamke anakuwa kichwa ngumu, ukimwambia vile wala hataki, mke wangu, mpenzi wangu hebu niandalie chakula, wapi! Hakika usikivu ule wakati wa mamboz ungekuwa endelevu ndoa/mapenzi mengi yangedumu sana.
leo umenichekesha nikakumbuka na sura zao zinavokuwaga....kweli viwe sustainable!
 
nimekiona mkuu nimeki-press! halafu inaoneka we si Man u ndo maana umeamua kutufurahisha this morning!
 
nimekiona mkuu nimeki-press! halafu inaoneka we si Man u ndo maana umeamua kutufurahisha this morning!

asante mkuu, mimi ni Man U, nimeshakuwa sugu, hata tukifungwa naona poa tu, nimechoka kuumia.
 
mkuu JEKI mbona kama unaingiza baridi AU lara 1 siku hizi anapiga?

Jamani mbona mmeniandama na lara 1? sitaki ugonvi na mwanamke, hawachelewi kusingizia kanibaka.
 
Last edited by a moderator:
asante mkuu, mimi ni Man U, nimeshakuwa sugu, hata tukifungwa naona poa tu, nimechoka kuumia.
kama ndivyo basi ni vizuri kukubaliana na ukweli smtimes! nawasubiri siku mkikutana na the citizens aka Man City!
 
ndo hvo mkuu mkibishana stimu zote zinaisha,unakubali tu,mengne mtaongea mkimaliza

Mkuu uko sahihi kabisa; ila kuna wengine wanaona ndiyo wakati muafaka wa kuwasilisha budget zao!
 
Back
Top Bottom