meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,198
Nitacheka jioni nikitoka kibaruaniwengine kisa tuu kwao hawapati mlo mara 3 kwa siku, anaamua kuolewa.
Nitacheka jioni nikitoka kibaruaniwengine kisa tuu kwao hawapati mlo mara 3 kwa siku, anaamua kuolewa.
Inakuhusu hii"Nchi ya kusadikika" ni Mme Bwege pekee ndiye hatathubutu kushika na kukagua simu ya Mkewe.
So Mungu alikosea sana alipotuagiza Me"tuishi kwa akili na Ke zetu"?
[emoji28] Mmeshakuwa mwili m1 mnatakiwa mshirikiane ktk kila kitu, kama hakuna hofu ya Mungu kati yenu ndipo kutokuaminiana kunapotokea na kuanza kuoneana wasiwasi hata kushika simu ya Mke/Mume.Inakuhusu hiiView attachment 1083876
Nitacheka jioni nikitoka kibaruani
Hakukosea jamaa tafadhali sana[emoji34][emoji34][emoji34]
[emoji28] Mmeshakuwa mwili m1 mnatakiwa mshirikiane ktk kila kitu, kama hakuna hofu ya Mungu kati yenu ndipo kutokuaminiana kunapotokea na kuanza kuoneana wasiwasi hata kushika simu ya Mke/Mume.
Mwili mmoja ila kifo kinatutenganisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemnukuu aliyedai kuwa tunapoona Mtu anatumia zaidi akili ktk mahusiano anakosea lkn sijamaanisha Mungu hayuko sahihi, so nimemuuliza kwa kum-challenge tu.
Kuna wanaopenda wanaume walevi pia so haiwaathiri ila masigara ndio keroJamaa kuna vitu unakubaliana navyo coz sometimes mwenza wako kashindwa kuacha.
Ukimshindwa muache kabla ya ndoa
Mfano sigara. Pombe
mpira. Nk arekebishika freshi ukiweza kuchukuliana nae poa au kama vipi mteme
Ndoa ni kitu hai ili kuendeleza kizazi kwa baraka za Mungu(Baba na Mama) so ni lazima muwe wamoja lkn si ktk kitu kilichokufa/kifo.
Hahah au yule aliekata tamaa, kuna watu ni ma disminder kweli kweli"Nchi ya kusadikika" ni Mme Bwege pekee ndiye hatathubutu kushika na kukagua simu ya Mkewe.
Kuna wanaopenda wanaume walevi pia so haiwaathiri ila masigara ndio kero