EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
- Thread starter
- #21
Bro ndoa ni kujitoa akili yaani unaachana na uyapendayo ili umfurahisha mwenza wako
tatizo kuna kitu kinaitwa 'kupenda'
mtu anawezekana akawa akili yake bado inahitaji kukua na haiwezi ndoa, na ni mzigo mkubwa ukiwa nae kwenye ndoa, ama itabidi ujisacrifice way too much for them kwenye ndoa, ila ndio ushapenda sasa.
mnaodhani wamekosea kuoa ama kuolewa na fulani mara nyingine msishushe uwezo wao wa kung'amua mambo
huenda wanaelewa wenzi wao ni mabomu ila ndio vile washapenda na kuacha hawawezi wakaamua kujilipua na kuniingiza kwenye ndoa mradi wawe nao