Usikimbilie ndoa

Usikimbilie ndoa

Umesema kweli mkuu, ndoa sio sport sport. Ukiingia kwenye ndoa ilihali kuna viporo umebakiza balaa linakua kubwa zaidi.

Ushauri; ndoa isikurupukiwe wanabodi.
Ndoa sio kitu cha kukurupukia,kuna ukweli mkubwa kuhusu wengi wanaokimbilia kuolewa kwa hizo sababu ulizotaja,na mioyoni mwao wengi wanakuwa bado hawajamaliza maisha yao ya kuishi peke yao,yaani inakuwa kama amekatiza sasa akiingia kwenye ndoa anajikuta anamalizia kile kiporo cha aliyobakiza,sasa hapa ndio penye balaa...
 
Na hapo ndo tatizo linapoanzia, nnao Mfano hai. Jamaa alioa tena harusi ya hadhi yake, shida ikaanza alipotaka kuendeleza style ya ki-bachelor.

Balaa ilikuwa kubwa ikabidi wife arudi home kwao, ilibidi shughuli ifanyike kurejesha ndoa iliyokua inaelekea kufa.
Kuna watu wanataka ndoa ila hawataki kuacha maisha ua usingo

Ndoa inakua ngumu balaa maana anataka starehe na michepuko na kurudi home muda atakao yeye
 
Ndoa ni kujitoa mkuu. Kuacha starehe na baadhi ya uyapendao kwa ajili ya mwenza wako
Na hapo ndo tatizo linapoanzia, nnao Mfano hai. Jamaa alioa tena harusi ya hadhi yake, shida ikaanza alipotaka kuendeleza style ya ki-bachelor.

Balaa ilikuwa kubwa ikabidi wife arudi home kwao, ilibidi shughuli ifanyike kurejesha ndoa iliyokua inaelekea kufa.
 
Je, umeolewa dada? Fanya hivi

Fanya siku moja umwangalie mumeo usoni akiwa amelala, halafu kaa na utafakari, jiulize maswali???
Huyu ndie mume wangu aliyenifanya niwaache wazazi wangu kwa ajili yake. Sina uhusiano naye wa damu ila amekuwa mshirika wangu, mpenzi wangu, faraja yangu kuliko ndugu wa damu kwa sababu tunachanganya pamoja kila kitu sio damu tu.
-kwanini nisimpende
-kwanini nisimthamini
-kwanini nisimjali
-kwanini nisimsikize
-kwanini nisiwe chini yake
-kwanini nisimfunilie moyo wangu.
Mumeo ni mtu muhimu sana katika maisha yako hata ukifanya dhambi mola ataenda kumuuliza na yeye pia.
Siku moja akirudi kutoka kazini mkumbatie kwa hubba mshike mkono wake na uubusu huo ndio mkono unaohangaika kufanya kazi ili muishi, mshibe, mvae, msiazirike. Amekuwa sehemu ya maisha yako, amekuwa kama pande la nyama katika mwili wako, mara nyengine anawanyima ndugu zake wa damu ili akupe wewe.
KUMBUKA: UKIMKOPESHA MAHABBA ATAKULIPA MAWADDA.
ujumbe ulio bora kabisa
 
Ku-match ni process of sucrifice uyapendayo kwa ajili ya mwenzi wako

Shida vijana wa sasa hakina anayetaka kufanya ivo

Kuna wanao match hata kabla hawajawa mke na mume mbona hasa walioanzia kwenye urafiki kisha mapenzi wengi huwa wana blend vyema ila kwa wale wanaonza kwenye mapenzi moja kwa moja baada ya kutongozana ndio wengi wana incompatibility issues.

Kinacholeta mgogoro kwenye hizi ndoa ni kushindwa ku compromise (kusawazishana). Unakuta mtu ana tabia flani ngumu ukijaribu kumuelekeza aache ile expense ya kuiacha hio tabia anakuwa hataki kuivumilia. Mfano mtu mlevi ukimuomba akache ile starehe yake maana kwako ni kero akawa hataki kuacha ili upate utulivu wa nafsi inaleta msuguano ambao pia na wewe kuna vitu atavyotaka uache nawewe utamkazia so uhai wa uhusiano unakuwepo kupitia mazoea tu ila upendo ushakufa.

Laiti watu wangejua a marriage is not a bed of roses but it needs hard work and committment to make it fun! Lazma watu tu compromise ili maisha yawe salama, chukulia ndoa kama gears. Lazma zichongwe kuwa na meno na mianya ili ziweze kukamatana vizuri na kufanya magurudumu ya gari yatembee
 
umesema malalamiko ya upande mmoja tu
je ili mtu aoe au kuolewa inatakiwa afanye nn
Awe na upendo wanasema marry for love ukiwa na upendo mapungufu ya mwenzio utayachukua na kumchukulia mwenzako ....
 
Mimi nafikri tatizo linaanzia kwenye sababu ya kuolewa/kuoa

Hasa kwa wanawake, weng ukiwauliza keann unataka kuolewa hana majibu sahihi, ila moyon anajua anaolewa kwa sababu ambazo hazina msingi

Mfn kuwaonesha watu, kumkomoa mtu, n.k
Kuna wanao match hata kabla hawajawa mke na mume mbona hasa walioanzia kwenye urafiki kisha mapenzi wengi huwa wana blend vyema ila kwa wale wanaonza kwenye mapenzi moja kwa moja baada ya kutongozana ndio wengi wana incompatibility issues.

Kinacholeta mgogoro kwenye hizi ndoa ni kushindwa ku compromise (kusawazishana). Unakuta mtu ana tabia flani ngumu ukijaribu kumuelekeza aache ile expense ya kuiacha hio tabia anakuwa hataki kuivumilia. Mfano mtu mlevi ukimuomba akache ile starehe yake maana kwako ni kero akawa hataki kuacha ili upate utulivu wa nafsi inaleta msuguano ambao pia na wewe kuna vitu atavyotaka uache nawewe utamkazia so uhai wa uhusiano unakuwepo kupitia mazoea tu ila upendo ushakufa.
 
Mimi nafikri tatizo linaanzia kwenye sababu ya kuolewa/kuoa

Hasa kwa wanawake, weng ukiwauliza keann unataka kuolewa hana majibu sahihi, ila moyon anajua anaolewa kwa sababu ambazo hazina msingi

Mfn kuwaonesha watu, kumkomoa mtu, n.k
Hahahah! Anakuwa hana sababu za msingi haswa na wengi wao ni sababu ya umri tu. Anataka aolewe kabla ya 30 years of age hio ndio target yake.
 
Je, umeolewa dada? Fanya hivi

Fanya siku moja umwangalie mumeo usoni akiwa amelala, halafu kaa na utafakari, jiulize maswali???
Huyu ndie mume wangu aliyenifanya niwaache wazazi wangu kwa ajili yake. Sina uhusiano naye wa damu ila amekuwa mshirika wangu, mpenzi wangu, faraja yangu kuliko ndugu wa damu kwa sababu tunachanganya pamoja kila kitu sio damu tu.
-kwanini nisimpende
-kwanini nisimthamini
-kwanini nisimjali
-kwanini nisimsikize
-kwanini nisiwe chini yake
-kwanini nisimfunilie moyo wangu.
Mumeo ni mtu muhimu sana katika maisha yako hata ukifanya dhambi mola ataenda kumuuliza na yeye pia.
Siku moja akirudi kutoka kazini mkumbatie kwa hubba mshike mkono wake na uubusu huo ndio mkono unaohangaika kufanya kazi ili muishi, mshibe, mvae, msiazirike. Amekuwa sehemu ya maisha yako, amekuwa kama pande la nyama katika mwili wako, mara nyengine anawanyima ndugu zake wa damu ili akupe wewe.
KUMBUKA: UKIMKOPESHA MAHABBA ATAKULIPA MAWADDA.
Dada?? Internal amebadili jinsi lini, mkuu taratibu.
 
"Si vyema mtu awe peke yake nitafanyia msaidizi wa kufanana naye"statement hii aliyeisema ni Mungu katika kitabu cha Biblia cha Mwanzo amini usiamini ever since ilipotamkwa hivyo Hakuna mtu awe mke au mume alibakia salama ni maelezo yaliyogeuza Juu chini Majaaliwa yoyote yaliyokuwa yamekusudiwa na Mungu juu ya Kiumbe Mtu na hivyo sio tu yalisababisha Kuongezeka kwa haja ya mtu mume kuwa na wa kufanana nae bali yalileta Falsafa mpya na kanuni fikirishi sana za namna ya kuishi watu wawili wanaofanana lakini wanaotofautiana.Ila Mungu alijua namna ya Kubalance tofauti zozote na ku_blend muunganiko huu ambao ulitukia kuwa ndoa ya Kwanza iliyofungwa na Mungu mwenyewe na kwa sababu Hiyo Huwezi kumtoa nje ya mlinganyo huo Mungu ikiwa unataka kuingia kwenye Ndoa Ili akupatie "wa kufanana na wewe" shida nyingi na kubwa zimetokea kwa sababu watu hawakumshirikisha Mungu ili awapatie "wa kufanana nao"MUNGU AKUPE HEKIMA WEWE UNAETAKA KUINGIA WENYE TAASISI HII YA NDOA ILI UONE KATIKA MACHO YA MUNGU.
 
Maisha ya kuishi na mtu wa kukutan barabarani ya nahitaji uvumilivu wa hali ya juu..
Ndoa sio kitu cha kukurupukia
 
Safi sana ndugu
Je, umeolewa dada? Fanya hivi

Fanya siku moja umwangalie mumeo usoni akiwa amelala, halafu kaa na utafakari, jiulize maswali???
Huyu ndie mume wangu aliyenifanya niwaache wazazi wangu kwa ajili yake. Sina uhusiano naye wa damu ila amekuwa mshirika wangu, mpenzi wangu, faraja yangu kuliko ndugu wa damu kwa sababu tunachanganya pamoja kila kitu sio damu tu.
-kwanini nisimpende
-kwanini nisimthamini
-kwanini nisimjali
-kwanini nisimsikize
-kwanini nisiwe chini yake
-kwanini nisimfunilie moyo wangu.
Mumeo ni mtu muhimu sana katika maisha yako hata ukifanya dhambi mola ataenda kumuuliza na yeye pia.
Siku moja akirudi kutoka kazini mkumbatie kwa hubba mshike mkono wake na uubusu huo ndio mkono unaohangaika kufanya kazi ili muishi, mshibe, mvae, msiazirike. Amekuwa sehemu ya maisha yako, amekuwa kama pande la nyama katika mwili wako, mara nyengine anawanyima ndugu zake wa damu ili akupe wewe.
KUMBUKA: UKIMKOPESHA MAHABBA ATAKULIPA MAWADDA.
 
Jamaa kuna vitu unakubaliana navyo coz sometimes mwenza wako kashindwa kuacha.

Ukimshindwa muache kabla ya ndoa
Mfano sigara. Pombe
mpira. Nk arekebishika freshi ukiweza kuchukuliana nae poa au kama vipi mteme
Kuna wanao match hata kabla hawajawa mke na mume mbona hasa walioanzia kwenye urafiki kisha mapenzi wengi huwa wana blend vyema ila kwa wale wanaonza kwenye mapenzi moja kwa moja baada ya kutongozana ndio wengi wana incompatibility issues.

Kinacholeta mgogoro kwenye hizi ndoa ni kushindwa ku compromise (kusawazishana). Unakuta mtu ana tabia flani ngumu ukijaribu kumuelekeza aache ile expense ya kuiacha hio tabia anakuwa hataki kuivumilia. Mfano mtu mlevi ukimuomba akache ile starehe yake maana kwako ni kero akawa hataki kuacha ili upate utulivu wa nafsi inaleta msuguano ambao pia na wewe kuna vitu atavyotaka uache nawewe utamkazia so uhai wa uhusiano unakuwepo kupitia mazoea tu ila upendo ushakufa.

Laiti watu wangejua a marriage is not a bed of roses but it needs hard work and committment to make it fun! Lazma watu tu compromise ili maisha yawe salama, chukulia ndoa kama gears. Lazma zichongwe kuwa na meno na mianya ili ziweze kukamatana vizuri na kufanya magurudumu ya gari yatembee
 
Je, umeolewa dada? Fanya hivi

Fanya siku moja umwangalie mumeo usoni akiwa amelala, halafu kaa na utafakari, jiulize maswali???
Huyu ndie mume wangu aliyenifanya niwaache wazazi wangu kwa ajili yake. Sina uhusiano naye wa damu ila amekuwa mshirika wangu, mpenzi wangu, faraja yangu kuliko ndugu wa damu kwa sababu tunachanganya pamoja kila kitu sio damu tu.
-kwanini nisimpende
-kwanini nisimthamini
-kwanini nisimjali
-kwanini nisimsikize
-kwanini nisiwe chini yake
-kwanini nisimfunilie moyo wangu.
Mumeo ni mtu muhimu sana katika maisha yako hata ukifanya dhambi mola ataenda kumuuliza na yeye pia.
Siku moja akirudi kutoka kazini mkumbatie kwa hubba mshike mkono wake na uubusu huo ndio mkono unaohangaika kufanya kazi ili muishi, mshibe, mvae, msiazirike. Amekuwa sehemu ya maisha yako, amekuwa kama pande la nyama katika mwili wako, mara nyengine anawanyima ndugu zake wa damu ili akupe wewe.
KUMBUKA: UKIMKOPESHA MAHABBA ATAKULIPA MAWADDA.
Mawadat warahma
 
Back
Top Bottom