Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya Iringa limeshiriki katika Kliniki ya Ardhi Mkoa wa Iringa inayoendelea kufanyika katika Manispaa ya Iringa kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 03 Oktoba 2026, kwa kutoa huduma za utatuzi wa migogoro ya ardhi, ushauri wa masuala ya ardhi na elimu kwa umma kuhusu...
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo limeshiriki katika zoezi la One Stop Centre linalofanyika katika Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi.
Zoezi hilo limeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Halmashauri ya Mji Bagamoyo...
TUNDURU
Wajumbe wanne wameapishwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kuwa Wajumbe wapya wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Tunduru, ikiwa ni hatua ya kuimarisha upatikanaji wa haki na utatuzi wa migogoro ya ardhi na nyumba wilayani humo.
Zoezi hilo limefanyika leo, Septemba 18...
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Maswa, Joseph Timothy Kaare, anakabiliwa na malalamiko yanayodai kuwa amekuwa akiendesha shughuli za baraza hilo kwa kutumia maamuzi binafsi yanayokiuka taratibu na miongozo ya Serikali.
Baraza hilo, ambalo lipo chini ya Wizara ya Ardhi...
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya, Mkoa wa Dodoma limewasikiliza wananchi wa jamii ya Kiiraqw waliofika katika Baraza hilo kuwasilisha hoja na ushahidi wao katika mgogoro wa ardhi, wakidai kumiliki kihalali shamba lenye ukubwa wa ekari nane lililopo Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma.
Hatua...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera Nazir Karamagi amefikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kwa kupora ardhi ya mwananchi katika kijiji cha Itahwa na kupanda mazao ya parachichi.
Mwenyekiti Karamagi anatuhumiwa kupora heka sita.
Huyu ni mmojawapo wa viongozi aliowahi kuwataja...
Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao.
Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya kueleweshana badala ya kufokeana na kuoneshana umwamba mbele ya lay persons?
Kama sio frustrations...
Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu.
Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge. Ameshawanyanganya watu na kuvunja nyumba nyingi kwa ajili ya rushwa.
Anakula na ofisi ya msajili kanda...
Kwa wahusika,
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni ndani ya siku 45 tu.
Hadi sasa mwenyekiti huyo hajulikani alipo na karani wake amepokea hela bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.