Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

Mkuu nimeshaingia kwa miguu miwili na sina mpango wa kugeuka tena nyuma.

Ndoa ni unyang'angi!
Ndoa ni mkataba wa uhaini na kifungo thats why wanasema mnafunga pingu za maisha, ni jela unayolipia gharama kuingia. Ndoa ni utapeli.
 
Ndoa ni mchezo mchafu wenye fouls nyingi sana.

Marriage is really a dirty game.
 
Kataa Ndoa 1:3 inasema:
Kataa ndoa ni utapeli mtu awaye yote atakaeoa atatapeliwa mali,uhuru,furaha na akili yake.
1:4-9 inaendelea kusema: "watakuja wanawake watakuja kuwabambikia waume zao watoto wasio wao Ili kwamba waume waendele kuwatunza watoto hao, lakini pindi watoto hao watakapokuwa wakubwa basi wanawake hao huwaambia ukweli waume zao na waume watakasirika na kuanza ugomvi basi mama na mwana humchangia baba hata kumtawala na kumfukuza nyumbani na hapo ndipo mke atakapojamiiana na mahawala zake kwa uhuru na raha mustarehe"
 
Hahaha swadakta kabisa umenena vyema
 
Back
Top Bottom