Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 877
- 1,127
- Thread starter
- #21
Amina, sote Tutubu na Kurejea Kwa Mungu.Mungu anasemehe tubuni tu pendeni kutubu
Amina, sote Tutubu na Kurejea Kwa Mungu.Mungu anasemehe tubuni tu pendeni kutubu
Sisi tusio na dini unatusaidiaje?
Ndio, usioe mwanamke mchawi, wala usioe mwanamke asiyemjua wala kumuhofia Mungu.Nimekuja spidi nkijua nakuja shauriwa nisioe wakina fulani.
Hujui wale wanaact wanahofu ya Mungu.Ndio, usioe mwanamke mchawi, wala usioe mwanamke asiyemjua wala kumuhofia Mungu.
Ila kumbuka kesho ni majaaliwa ya Muumbaji tu, hivyo tubu kakaangu.
NIMEKUELEWA vizuri sana, na nimetambua hiyo changamoto uliyoipitia nitakuelezea hapa chini.. ila kwanza NIRUDIE NILICHOSEMA KWENYE POST YA KUMJIBU YULE NDUGU PALE JUU.Hujui wale wanaact wanahofu ya Mungu.
Nilipohamia huku kuna mwanadada alinikuwa hayupo alipohamia karibu na chumba changu nikasema asante Mungu nimempata mlokole saivi nimepona .
Nikaendelea kuamini sasa nitaishi kwa amani.
Sasa sikumoja akaja akaniambia naomba tuwe marafiki nikasema sawa .
Muda huo nilikuwa naenda dodoma kufanya jamboo.
Ilikuwa bado ... na kamwezi kakujiandaa .
Huyo dada alikuwa usiku anaomba nasali hadi milima ina gawanyika kila siku naasema ameenda maombi ndio maana hakuwepo usiku.
Siku moja mchana akadai anaenda mjini twende tukaenda mjini.
Basii nilivyofika mahali nikataka nipande toyo akanilipia toyo mpaka sehemu yakupanda kiasi niende mjini.
Kunasiku akasema kila nikirudi kutoka mishemishe zanguu ijioni yupo hapo njee ananisubiria nakuniambia kuhusu majirani eti wachawi na atawapeleka kwa muombeaji wake nikawa na mwamini.
Ila kila nikiwa naendelea kuwa nayeye biashara yangu inapungua watu hawaji tena kununua bidhaa zanguu.
Basi hapa nimjini kuna mtu namuita kaka yangu akaniambia kuwa kunarafiki wa juzi juzi ambaye uko naye nikasema ndio akaniambia woi yeye ndio anakwamisha mamboo.
Nikawa sibishi hakuishia hapo aliharibu hadi mwanaume ambaye alipaswa kunioa. .
Aliniiuguza kishirikina .
Naakafanya sili vizuri na wasaidizi wangu mmoja akampa ajali .
Acha tu hadi mwenye nyumba akashtuka jamani. Sio kawaida yangu kushuka kibiashara hivyoo.
Kwa hiyo duniani hakuna mlokole ni Mungu pekee yake wote ni watenda dhambi na maovu.
Ndio maana kuna imani ya mitume tunatubu kila ijumapili.
Vijitu vinnavyoact ni mbaya sana bora uwe na malaya tu ujue moja .
Chakushangaza analeta wanaume kibaoo kama stendi ya Ubungoo.
Wale wavaa sketi ndefu walokole mmoja alitembea na mume wa rafiki yangu guest alipokutwa akasema ni alionyeshwa huyo kaka ni wake.
Wengine ni wachawi wanafunga watoto vyoo wasinye na wengine wambeya wanavunja ndoa na urafiki za watu halafu wanaolewa wao wanachukua kabisa mume wa mtu wanamganda hadi basi.
Kwa hiyo bora uoe mtu wa kawaida
WAMTUMIKIA MUNGU KWA UAMINIFU HAWAWEZI KUKUTWA NA MATATIZO WAKAKOSA MSAADA... MATATIZO HUMFIKA KILA MTU, ILA MUNGU NDIYE MSAADA WA KWELI NA KUDUMU.
Ni pm nikuulizee jamboo nipo seriousNIMEKUELEWA vizuri sana, na nimetambua hiyo changamoto uliyoipitia nitakuelezea hapa chini.. ila kwanza NIRUDIE NILICHOSEMA KWENYE POST YA KUMJIBU YULE NDUGU PALE JUU.
Nimesema Asioe mwanamke mchawi na wala asioe mwanamke asiyemjuwa wala kuwa na hofu ya Mungu.. SIJASEMA AOE MLOKOLE.. nieleweke ASIOE MWANAMKE MCHAWI wala ASIYEMJUWA WALA KUMUHOFU MUNGU...
UTAJUAJE KAMA HUYO MTU NI MCHAWI AU HANA HOFU YA MUNGU? - MUOMBE MUNGU AKUONYESHE, MUNGU SI MNAFIKI NA WALA HAPENDI TUANGAMIE.. ATAKUONYESHA, Iwe kwa Ndoto, Kwa Maono, Au Kwa matendo halisi.
Turudi kwenye Jambo lako.
Pole sana, SHETANI HUTUPIGA kiuhalali kwakua huwa tunakaa mbali na uwepo wa neema ya Mungu.
Nikupe mfano rahisi, kondoo ambao wamezoezwa kwenda machungani na mchungaji, siku wale kondoo wakikimbia na kumtoroka mchungaji ghafla wakakamatwa na fisi au dubu, je huoni kama watakua wamekamatwa kiuhalali? Kwani fisi/dubu yule hakuwafuata zizini bali wao walikimbia toka kwa mchungaji..
Siku zote tambua tupo VITANI... Hata hapa mimi hiki ninachokifanya sio kama shetani anapenda hapana, kwakua nawafungua watu yeye atajaribu kila njia kunikwamisha.
Sasa kwa kutambua kuwa tupo vitani, basi wewe lazima ujue Jemedari wako wa vita ni Mungu, Usifanye jambo bila kumshirikisha Mungu... (NDIO MAANA TUNAPASWA KUCHAGUA UPANDE MMOJA... NURU au GIZA).. Ukimshirikisha Mungu yeye atakuambia kila unachopaswa kufanya.
Wengi wameangamia kwasabubu ya KUWAAMINI watu ambao ni wageni kwao... SHETANI ANATAFUTA WAFUASI... katika kutafuta wafuasi kwanza anajibebea wale ambao wapo wapo tu, hawamjui kwa Mungu hawapo kwake hawapo.. Kisha anakuja kwa wale ambao wapo kwa Mungu mguu ndani mguu nje.. anawapenda hawa kwasababu anajuwa WAKIFUMBUKA MACHO ITAKUWA NGUMU KUWARUDISHA GIZANI... mwisho anakuja kwa wale ambao Wanamjua na kumtumikia Mungu, hawa anajua akimbeba mmoja tu basi kabeba makumi nyuma yake..
Wewe lazima ulikuwa kwwnye moja ya hayo makundi... Na kwakua ulikua potential (Una Biashara) basi ibilisi akatuma wakala wake ili akuteke uwe upande wake.. KIVIPI? Ungeanza tu kwenda kwa waganga basi ndo angekuwa kakukamata.. wewe lazima ungeenda kwa waganga ili kulinda biashara na hadhi yako, hapo yeye angekuwa amekutoa kwa Mungu na kukumiliki.. yumkini ungekua unaenda kanisani/msikitini lakini Mungu angekuwa hapendezwi na wewe.
Wengi wameanguka kwenye mtego wa shetani kwa kushindwa kumuomba Mungu awaonyeshe... Wakati uliohamia tu hapo ulitakiwa kumuambia Mungu... HAMIA na mimi katika nyumba hii.. nionyeshe wa kushirikiana nao na niepushe na wakuchukizao... Maombi/Dua/Swala zina uzito ukiambatanisha na kufunga...
Je, kwa sasa si upo sawa au changamoto hazijatulia hadi leo hii?
Wote ambao hawajaoa na kuolewa ila wanafanya watubu si ndio? Asante kuwakumbusha
Hii vita inaitaji ujasiri sana
Mi bado mdogo
Mi sijatubu bado ila kwanza nimeanza kupunguza (kujitenga ) na kimoja kimoja kinachonifanya ni angukie dhambini, naamin nitaweza japo najua siku nikirudi kwa Mungu lasmi nitapoteza wengi na vingiNi kweli lakini kuna zawadi ya ushindi kwa watakaoshinda.
Umeshatubu sasa?Wote ambao hawajaoa na kuolewa ila wanafanya watubu si ndio? Asante kuwakumbusha
Amin, Mungu atufanyie wepesi.
Mi sijatubu bado ila kwanza nimeanza kupunguza (kujitenga ) na kimoja kimoja kinachonifanya ni angukie dhambini, naamin nitaweza japo najua siku nikirudi kwa Mungu lasmi nitapoteza wengi na vingi