Usijaribu kumfumania mkeo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,619
Reaction score
65,082
Ukiletewa taarifa ya kuwa mkeo yupo gesti au nyumba fulani, yupo na kidume wanajivinjari; kwa ushauri wangu, usifike kabisa eneo hilo la tukio kwa nia ya kuwafumania; lolote linaweza kutokea. Cha kufanya ondoka hilo eneo la tukio, ikiwezekana tafuta safari ya dharura uondoke, ukae hata wiki nzima, ndipo urudi nyumbani.

Kufanya hivyo itakuepusha na maamuzi yasiyokuwa na madhara makubwa, pia itapunguza urahisi wa ndoa kuvunjika hasa kwa wale walioishi pamoja kwa muda mrefu.
 
Ajishagongwa mzigo rasmi ndoa ishaisha hapo labda umiambie kuepusha fedheha na madhara ya hasira tu ila ndoa ishazikwa rasmi
 
Ajishagongwa mzigo rasmi ndoa ishaisha hapo labda umiambie kuepusha fedheha na madhara ya hasira tu ila ndoa ishazikwa rasmi
Ndoa inaweza kuwa mwisho, mfano mna watoto wanawategemea, katika jaziba ya kumuacha watoto wanakulilia 'baba baba usimuache mama, tutateseka baba'; utafanya maamuzi gani?
 
Ndoa inaweza kuwa mwisho, mfano mna watoto wanawategemea, katika jaziba ya kumuacha watoto wanakulilia 'baba baba usimuache mama, tutateseka baba'; utafanya maamuzi gani?
My happiness belongs to me and me alone wao ntawahudumia sana ila siwezi kuishi na kinyongo moyoni

NEVER AISE!!!!
 
Mimi nitakufumania na kukuua tu
Wewe mjaribu mke wangu uone
Hamna hyo adhabu itakufanya ukanyee debe maisha yako yote


Dawa unakodi wana wanamla kisamvu mngoni wako hapo lazima akae kimya kuficha fedheha na lazima afe kwa msongo wa mawazo hivyo unaepusha possibility ya kwenda jela kuliko kuua direct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…