Ukitaka kugombea Urais hakikisha jina lako halifanani na jina la jinsia nyingine au yatakutokea ya Dovutwa ambaye wapiga kura wengine walikuwa wanahoji vipi tulisikia kuna Devota anagombea mbona picha yake ya kiume? Makame nae alipokua anatangaza matokeo mara kadhaa akamwita Devota badala ya Dovutwa.