MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,127
- 10,312
Namba 2&4 ni utapeli mtupu.
Anza kuchakata hayo hapo juuKwa hiyo mimi mwenye miaka 40 ninayeishi kwa shemeji unanishauri nianzie wapi?
Umri bado endelea kuenjoy maisha hapo kwa shemKwa hiyo mimi mwenye miaka 40 ninayeishi kwa shemeji unanishauri nianzie wapi?
Akiba nawekaje sasa na sina kazi maalumu? Hiyo Bima sasa labda niongee na shemAnza kuchakata hayo hapo juu
Mimi naona bora niendelee maana nakula bure, naishi kiboss kabisaUmri bado endelea kuenjoy maisha hapo kwa shem
Hakuna mwanadamu asiye na kazi toka asubuhi kashuhulike utapata chochote, usitake kupata million wakati hata 20k ni changamotoAkiba nawekaje sasa na sina kazi maalumu? Hiyo Bima sasa labda niongee na shem
Sawa mkuu ngoja kuna kesho nianze kwenda duka la shem niwe winga tuHakuna mwanadamu asiye na kazi toka asubuhi kashuhulike utapata chochote, usitake kupata million wakati hata 20k ni changamoto
Maisha ndiyo haya haya ,nazungumzia kwa yule aliyejaliwa kipato basi apambane around 35 awe na mjengo kwa7bu 35-50 hapo ni kusomesha kwa kwenda mbele.Upo sahihi, nakubaliana na wewe Lakini si unajua bongo nyoso? Sasa ushafika 40+ Lakini bilabila😁 ufanyeje ujinyongee???
Sasa kama mtu hajaanza kusomesha akiwa 35? Hii mambo haina formula. Mtu ajenge kabla watoto wake hawajawa wakubwa wa kusoma. Hii ndiyo point.Miaka 60 ni mingi sana kibongo bongo......Nadhani ukifika 35 uwe ushajenga nyumba maana ukianza kusomesha ngumu sana kujenga ,kodi zinaumiza sana!
Sahihi mkuu.Sasa kama mtu hajaanza kusomesha akiwa 35? Hii mambo haina formula. Mtu ajenge kabla watoto wake hawajawa wakubwa wa kusoma. Hii ndiyo point.
Hakika,😁😁😁😁😁maisha hayataki uwe serious sana kwahiyo nakubaliana na wewe.