Usifanye mchezo na pesa

Usifanye mchezo na pesa

tatizo ni ngumu ku argue na
underage boys...huwa wanabase kwenye emotions..utajua siku moja kwamba
haya mambo hayana fomula

umenifurahisa na underage boyz. mm wote chini ya 30 wote nawaitaga small organisns na kamwe hawezi nilala.mm under 30 pia anilale under 30 God 4bid
 
Si useme tu kama ni wewe yamekufika hayo,huko kuficha ndiko kunakokukosesha vitu.
 
Za asubuhi wana MMU.

Jamani nilichokiona jana nimeshindwa kukiamini ila inabidi tu niamini.

Kuna rafiki yangu ana mpenzi wake kiukweli walipendana yaani hata mimi niliyapenda mapenzi yao hadi wakaanza kufanana, ila yule msichana amesoma hadi form 4 akapata zero na jamaa yeye aliishia la saba kwa hiyo maisha matamu hapo.

Shetani mbaya sana kutokana na uzuri wa msichana kuna babu mmoja ambaye ukweli pesa anazo akija ni full mashauzi kila siku gari mpya za hatari sana suti zisizogusika na mengineyo! kamposa msichana na hatimaye amemuoa.

Siku ya ndoa vijana wa karibu na rafiki yetu tulipata kazi ya kujitolea maana ilibidi tulipwe jamaa kataka kuanzisha bonge la vurugu harusini na alivyo kipande kumzuia shughuli pevu.

Ila hatimaye ndoa imefungwa mke kachukuliwa jamaa kabaki analia kama mtoto gheto.

Jamani pesa nimeivulia kofia.
likikukuta wewe unafanya nini maana jamaa anataka ushauri jinsi gan atamrudia mpenzi wake.

Nawasilisha

anataka tumshauri jinsi ya kuvunja ndoa ya watu? serious!?
 
ha ha ha nimekumbuka ile kauli mbaya kuwa wa form 4 na la 7 ndio wanaoolewa, btw huyo kijana hana haja ya kuumiza kichwa...
 
Za asubuhi wana MMU.

Jamani nilichokiona jana nimeshindwa kukiamini ila inabidi tu niamini.

Kuna rafiki yangu ana mpenzi wake kiukweli walipendana yaani hata mimi niliyapenda mapenzi yao hadi wakaanza kufanana, ila yule msichana amesoma hadi form 4 akapata zero na jamaa yeye aliishia la saba kwa hiyo maisha matamu hapo.

Shetani mbaya sana kutokana na uzuri wa msichana kuna babu mmoja ambaye ukweli pesa anazo akija ni full mashauzi kila siku gari mpya za hatari sana suti zisizogusika na mengineyo! kamposa msichana na hatimaye amemuoa.

Siku ya ndoa vijana wa karibu na rafiki yetu tulipata kazi ya kujitolea maana ilibidi tulipwe jamaa kataka kuanzisha bonge la vurugu harusini na alivyo kipande kumzuia shughuli pevu.

Ila hatimaye ndoa imefungwa mke kachukuliwa jamaa kabaki analia kama mtoto gheto.

Jamani pesa nimeivulia kofia.
likikukuta wewe unafanya nini maana jamaa anataka ushauri jinsi gan atamrudia mpenzi wake.

Nawasilisha

anataka tumshauri jinsi ya kuvunja ndoa ya watu? serious!?
 
Wakuu haya mambo yanauma sana....we sikia tu kwa jirani
Ilishawahi kumtokea kaka yangu...kuanzia hapo ndio nikajua mapenzi yana nguvu sana
tena ni zaidi ya unavyofikiria....ni rahisi kucomment

unajua humu ndani wanafikiri nafrahisha genge ngoja yawakute kwanza!!!
 
JF humu kuna kila aina ya ushauri ila kuna mengine hata kama una hasira unabaki kucheka ona hawa walivyonipa ushauri!!!!!

amrudie kivip sasa labda asubir babu afe.

Namshauri ajipange, akamteke babu au uyo aliyekuwa mpenzi wake alafu amfungie maaali, agize pesa kama wanataka kumkomboa alafu kuanzia apo anapata mtaji naye ankuwa na kisu chake

Huyo muhanga wa kipochi manyoya tunamkaribisha....kwenye chama la chaputa
huku hakuna kuhonga....huku ni kipande cha sabuni au kikopo cha mafuta mgando
unakuwa unaenjoy penzi malidhawa.....kabisaaa...

Si useme tu kama ni wewe yamekufika hayo,huko kuficha ndiko kunakokukosesha vitu.
 
atulie tu, dirisha litafunguliwa sehemu nyingine.
Huwezi jua MUNGU kamuepusha na nini toka kwa huyo binti.

Na hakika nakwambia 'what goes around comes around'
binti huyo atajutia maamuzi yake na hafurahii ndoa yake. Trust me.
 
Brothr mwambie huyo brothr atafute pesa.kurud kwa huyo mke wa m2 ni kuweka rehani 071 yake..na alivyo kipande cmpatii picha.
 
Mpe pole mshikaji, mtoto wa kiume hadi chozi limemtoka! ni nadra sana mtoto wa kiume kulia eti sababu ya mapenzi tu.

Maji yakishamwagika hayazoleki. Huyo hawezi kuwa mpenzi wake tena, mwambie mshikaji asijiumize kichwa
 
mapenzi yanauma kaka!!!
 
duu mapenzi hatari sana, hivi hii post sijaielewa vizuri Hawa vijana walikuwa wala Bata bila kuoana? mnakaa mwaka mzima hamuoani eti ee,Ngoja wenye nia wakajifungie ndani kwa raha zao watafaidije?hata uwe masikini kuoa Ni haki yako,Kwani angetangaza nia si angesaidiwa mahari usharo baro umemponza mtoto kapanda mchuuma
 
sasa mbona unamsimanga tena!!!
 
Back
Top Bottom