Usifanye mchezo na pesa

Usifanye mchezo na pesa

Dah!!pesa mwaharamu ilimponza mpaka petro kabla jogoo kuwika kawaza kamkwaza kristo,na jaza voko na,,,,,mkono wa koshoto nayariria mapenzi huku nimefumba macho.Hii ndiyo pesa,,,,,,,,,Pole sana mkuu
 
Mnatabirika basi!hata wenye hela wanatendwa!usishangae huyo binti kuja kuzinguana na mzee baadayr

....tayari nitakuwa nishamkamua vi-pensheni vyake.
We kijana ningekukamua nini,....mafuta au
Dunia duara, kila mtu na ngomaye babu weeeee.
 
....tayari nitakuwa nishamkamua vi-pensheni vyake.
We kijana ningekukamua nini,....mafuta au
Dunia duara, kila mtu na ngomaye babu weeeee.

Mzee hata round moja shida utakuja kunihonga tu na pesa za babu ili nikupe game
 
Mzee hata round moja shida utakuja kunihonga tu na pesa za babu ili nikupe game

Nitamnunulia Viagra ili afanane na nyie.
Kuna msemo unasema, ....kama unapenda sana kudate na wanafunzi, mshonee mkeo sketi ya shule ili nae afanane nao....
 
Nitamnunulia Viagra ili afanane na nyie.
Kuna msemo unasema, ....kama unapenda sana kudate na wanafunzi, mshonee mkeo sketi ya shule ili nae afanane nao....

Anaweza akafanana na wanafunzi wengine ila si mwanafunzi yani anafanania tu
 
Wakuu haya mambo yanauma sana....we sikia tu kwa jirani
Ilishawahi kumtokea kaka yangu...kuanzia hapo ndio nikajua mapenzi yana nguvu sana
tena ni zaidi ya unavyofikiria....ni rahisi kucomment
 
Namshauri ajipange, akamteke babu au uyo aliyekuwa mpenzi wake alafu amfungie maaali, agize pesa kama wanataka kumkomboa alafu kuanzia apo anapata mtaji naye ankuwa na kisu chake
 
wanawake mpo wengi ndio wa kugegeda ila wakuoa wachache....

tatizo ni ngumu ku argue na underage boys...huwa wanabase kwenye emotions..utajua siku moja kwamba haya mambo hayana fomula
 
Huyo muhanga wa kipochi manyoya tunamkaribisha....kwenye chama la chaputa
huku hakuna kuhonga....huku ni kipande cha sabuni au kikopo cha mafuta mgando
unakuwa unaenjoy penzi malidhawa.....kabisaaa...
 
Za asubuhi
wana MMU.

Jamani nilichokiona jana nimeshindwa kukiamini ila inabidi tu niamini.

Kuna rafiki yangu ana mpenzi wake kiukweli walipendana yaani hata mimi
niliyapenda mapenzi yao hadi wakaanza kufanana, ila yule msichana
amesoma hadi form 4 akapata zero na jamaa yeye aliishia la saba kwa hiyo
maisha matamu hapo.

Shetani mbaya sana kutokana na uzuri wa msichana kuna babu mmoja ambaye
ukweli pesa anazo akija ni full mashauzi kila siku gari mpya za hatari
sana suti zisizogusika na mengineyo! kamposa msichana na hatimaye
amemuoa.

Siku ya ndoa vijana wa karibu na rafiki yetu tulipata kazi ya kujitolea
maana ilibidi tulipwe jamaa kataka kuanzisha bonge la vurugu harusini na
alivyo kipande kumzuia shughuli pevu.

Ila hatimaye ndoa imefungwa mke kachukuliwa jamaa kabaki analia kama
mtoto gheto.

Jamani pesa nimeivulia kofia.
likikukuta wewe unafanya nini maana jamaa anataka ushauri jinsi gan
atamrudia mpenzi wake.

Nawasilisha

mke wa mtu huyo aachie ngazi huyo sio wako tena. money talks
 
Back
Top Bottom