little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 558
asiumie sana!!!!!!!!!!
watu mpaka walianza kufanana mkuu usifanye mchezo!!!!
hali inakuwa mbaya pale atakapotaka kufanya kitu ambacho alifanyiwa na mwenzie halafu anakumbuka hayupo!!!
jamani mapenzi haya!!!!
sasa mkuu akiwa anawaza sana wakati hakuna njia halali ya kumrudisha mke wa mtu kuwa mpenz wake kama zamani ni mateso sana ya moyo na akili.... "there is no song which does not have a dancer" atampata mwengine tu... kwa sasa ajaribu kumpotezea huyo... kufanana sura sio issue... issue ni moyoni kama walikuwa soul mates.....