Usifanye hili kosa!

Ni kweli kwamba binadamu anabadilika kulingana na hali ya maisha, mahali, nafasi, uwezo, nk. Lakini kwa binadamu mwenye utu moyoni, na mwenye hofu ya mungu moyoni mwake, mazingira yoyote hayataweza kumbadilisha. Watch it out.

Asante kwa kudadavua zaidi;

Bahati mbaya kutoka na ugumu wa zoezi hili wengi tumelipuuzia na kulibeza kuwa si kitu muhimu sana.

ni wachache wanaoweza kuchunguza yote hayo

Haraka inatokana na nini; kwa sababu kwa kutochunguza kwetu wengine wetu tumejikuta kwenye matatizo makubwa baadaye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom