Nan? Sheikh mwamposa mzee wa maji na mafuta ya upakoUmenikumbusha yule sheikh aliekuwa anauza maji tu ya kunywa, glass Moja, alidai ameyafanyia kisomo Kwa hiyo we kunywa Kwa Imani utapona, asee niliona watu wananunua ilikua gt Kanda ya ziwa huko miaka hiyoo
Hapana kna sheikh Fulani miaka hiyooNan? Sheikh mwamposa mzee wa maji na mafuta ya upako
Hiyo michezo ya mwamposa mbona waasisi ni mashekhe 😄😄Nan? Sheikh mwamposa mzee wa maji na mafuta ya upako
Tanzania kweli kuna watu wana imani, sasa sijui imani sijui matatizo au ni ujinga duuuuh ule umati wa kwa mwamposa hatariHiyo michezo ya mwamposa mbona waasisi ni mashekhe 😄😄
Miaka ya 80 to 90 mashekhe wametapeli sana watu Kwa u-fake prophecy kwani haujui !?
Like ya 3 ni ya kwanguNimebandika pia Facebook
Majibu yanachukua muda gani? 😹😹Muhimu yawe maji ambayo hayajabadilika jina kama bia au chai
Heti maji yalikuwa kabla ya Mungu kuwepo?sasa ebu tuambie nani kayatengeneza Maji mkuu?Usiwahi Kunywa Maji yaliyopo Mbele yako mara baada ya kuongea Maneno hasi..
ukizungumza ukiwa na hasira kali mawazo mabaya, Maji huwa na tabia ya kufyonza kila mtetemo wa kila neno ulilotoa.
Ikiwa Utazungumza Maneno hasi huku Maji yapo pembeni, Kisha ukabeba Maji hayo na kuyanywa basi umekunywa mitetemo ya Maneno uliyotoa
Leo nikufunze magic..
Kaa na Maji katika glass, zungumza nayo kwa upole Tena katika mtazamo chanya. Hapa, Kuna wengine wameshaanza kuhisi vingine.
Maji ni hai, yamekuwapo hata kabla ya Miungu kuwepo. Maji hayakuumbwa na Mungu yoyote yule– zungumza nayo kwa upole.
Baada ya kumaliza kuzungumza nayo, yanwe– utashangaa..
Ukiwa MBELE ya Maji, tambua uko MBELE ya essence ya uhai. Usijezungumza Vibaya maana Maji yatafyonza mitetemo.
The Alkbulan man✍️