Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 528
- 822
- Thread starter
- #61
Nyie vijana wa ovyo sana,
Nyie vijana wa ovyo sanaNmekwambia hapo awali wewe ni muongo.
Thibitisha madai yako kuwa wasioamini Mungu wote wanajihusisha na ushoga,
jitetee kabla sijaweka conclusion hapa kuwa wewe ni muongo totally na habari ya Mungu unayetuambia hapa nayo ni uongo.
Ukishindwa pia ni uthibitisho kuwa Mungu hayupo,
Hadithi zote unazofundishwa kuhusu Mungu huyo ni za uongo.
Kwasababu mafunzo ya uongo hayohayo yanakufanya uje kusema uongo kama ulivyoleta madai yako humu JF.