Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,465
- 2,078
Mpagani anaamini katika Miungu.Wapagani on mic test 123
Jina Mpagani linawakilisha mtu anaamini Miungu/mungu lakini asiyeamini katika Yesu kristo.
Refer ilikoanzia huko kwa warumi.
Mimi siamini katika Mungu yeyote.
Hivyo mimi si mpagani.
Umenipa jina la uongo.
Hivyo wewe ni Muongo.
Unaweza kuthibitisha Mungu wako huyo yupo?