Usifagilie mtu, Mungu ndio kila kitu

Usifagilie mtu, Mungu ndio kila kitu

Maskini,siku hiyo mtashindwa hata kumtamka Kwa dharau mnazozionyesha duniani🙏
Kujifanya unamjua Mungu ambaye hata huwezi kumthibitisha ndiyo dharau yenyewe.

You have it backwards.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Nikupe salamu za kazi gani kwanza sikujui..

Aisee usije ukamshobokea mtu katika haya maisha:
Hata kama wewe ni masikini,kuwa masikini jeuri.
Sisi sote pua zetu zimeangalia chini,sote tuna share hii pumzi inamaana kwamba sio yetu..

Asikupande raia kichwani ukamtukuza kisa ana chambi(pesa),tambua pesa zake ni za kwake kivyake,wewe tafuta zako ndugu.

Kama haunipi salamu si force,na huwa sinaga tabia za kusalimu watu ovyo ovyo,najikubali sana.

Aisee mimi nakufa na kitu moyoni kimya kimya,sinaga tabia ya kumuambia mtu mambo yangu.

Nilizaliwa kivyangu nitakufa kivya gu,toka nizaliwe sijawahi mpigia mtu magoti ili iwaje sasa..

Sisi sote tunapitia yanini nikusujudie??

Usije mkamfanyie mtu mabaya,kumbuka alls around come around,ni kama namba 8 ilivyo..
ONLY GOD CAN JUDGE ME
I BELIEVE ONLY GOD
mangi shangali..mimi ndo mimi no one like me..
Hayo mawazo ya kimungu mungu ndiyo mwanzo wa uzembe na kutofikiri vitu kwa uhakika.

Mungu ni adui nambari moja wa wanadamu.
 
Logical non sequitur.Off point.

Thibitisha Mungu yupo.
Watu wote waliyo mkashifu mwenyenzi MUNGU hakuna hata mmoja aliye ishi,
Kuna watu walishafukiwa na vifusi wakakaa kwa siku kadhaa chini hakuna aliyejua watapona ila MUNGU akawaponya,endelea na madharau yako
 
Hayo mawazo ya kimungu mungu ndiyo mwanzo wa uzembe na kutofikiri vitu kwa uhakika.

Mungu ni adui nambari moja wa wanadamu.
Mpaka sasa nimewambia wathibitishe Mungu yupo, hakuna aliyeweza.
 
Watu wote waliyo mkashifu mwenyenzi MUNGU hakuna hata mmoja aliye ishi,
Kuna watu walishafukiwa na vifusi wakakaa kwa siku kadhaa chini hakuna aliyejua watapona ila MUNGU akawaponya,endelea na madharau yako
Watu wote wamekuwa wanaishia kufa tu, wakimkashifu au wasipomkashifu Mungu, kwa hivyo hapa huna point.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Mpaka sasa nimewambia wathibitishe Mungu yupo, hakuna aliyeweza.
Hawawezi hawa.

Na sababu kwanini hawawezi ni mbili tu...
1. Sababu ya kwanza ni kwasababu Mungu hayupo.
2. Sababu ya pili ni kwasababu Mungu hawezekani kuwepo.
 
Hawawezi hawa.

Na sababu kwanini hawawezi ni mbili tu...
1. Sababu ya kwanza ni kwasababu Mungu hayupo.
2. Sababu ya pili ni kwasababu Mungu hawezekani kuwepo.
Wapagani on mic test 123
 
Hawawezi hawa.

Na sababu kwanini hawawezi ni mbili tu...
1. Sababu ya kwanza ni kwasababu Mungu hayupo.
2. Sababu ya pili ni kwasababu Mungu hawezekani kuwepo.
Sababu ya tatu ni kwamba ni wajinga sana hawajui sababu ya kwanza na ya pili.
 
Watu wote waliyo mkashifu mwenyenzi MUNGU hakuna hata mmoja aliye ishi,
Kuna watu walishafukiwa na vifusi wakakaa kwa siku kadhaa chini hakuna aliyejua watapona ila MUNGU akawaponya,endelea na madharau yako
Kwa maana hiyo ambao hawajamkashifu wameishi?

Wale wasabato wakiwa wanatoka kurecord kwaya, mbona huwa wanapata ajari wanakufa wengi tu tena siku hiyo hiyo wametoka kumuimbia nyimbo za kumsifu Mungu huyo huyo?

Au wewe Mungu wako ni yupi kwanza?
Siye huyu wa Ibrahim wa kwenye mawingu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom