Usifagilie mtu, Mungu ndio kila kitu

Usifagilie mtu, Mungu ndio kila kitu

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
528
Reaction score
822
Nikupe salamu za kazi gani kwanza sikujui..

Aisee usije ukamshobokea mtu katika haya maisha:

Hata kama wewe ni masikini, kuwa masikini jeuri.

Sisi sote pua zetu zimeangalia chini, sote tuna share hii pumzi inamaana kwamba sio yetu..

Asikupande raia kichwani ukamtukuza kisa ana chambi(pesa), tambua pesa zake ni za kwake kivyake, wewe tafuta zako ndugu.

Kama haunipi salamu si force,na huwa sinaga tabia za kusalimu watu ovyo ovyo, najikubali sana.

Aisee mimi nakufa na kitu moyoni kimya kimya, sinaga tabia ya kumuambia mtu mambo yangu.

Nilizaliwa kivyangu nitakufa kivya gu, toka nizaliwe sijawahi mpigia mtu magoti ili iwaje sasa..

Sisi sote tunapitia yanini nikusujudie?

Usije mkamfanyie mtu mabaya, kumbuka alls around come around ni kama namba 8 ilivyo.

ONLY GOD CAN JUDGE ME
I BELIEVE ONLY GOD

Mangi shangali, mimi ndo mimi no one like me.
 
Naunga mkono hoja kuna watu sasa hivi nawaona kama mawe .Napita tu siongei chochote,wakiniuliza nakaa kimya tu,sijibu.'Nimezaliwa peke yangu na nitakufa peke yangu ,hata siku ya mwisho hukumu ni juu yangu '-Hili goma sijui msanii gani alichonga hii mistari.
 
Binadamu wa sasa hivi wanataka kutukuzwa..
 
  • Thanks
Reactions: EEX
WAZAZI TU NDIO HUWEZI KUWAPOTEZEA HATA WAKUSEME VIPI INGAWA MISEMO YA WAZAZI MTU MJINGA ANAWEZA KUONA DHARAU ILA NI UKWELI MTU AFTER WATU HAO AMBAO NI MUNGU WA PILI DUNIANI MTU MWINGINE YOYOTE MNAWEZA MKATOFAUTIANA MAWAZO NA FIKRA YAKINIFU
 
WAZAZI MUNGU WA PILI.ILA HAO WENGINE WALIOBAKI KWANGU SIO KITU
 
Back
Top Bottom