Usiende picnic kama huna mwenza, nimeteseka usiku kucha

Stori zako ungekua unazuga upo mamtoni, mademu wangekuamini unahela, kwa vile ushajionyesha upo bongo afu stori zako ni za magari ambayo hayapo au ni moja jiji zima, wademu humu washajua ni story za kutunga tu,.

Badili strategy, uwe unaambatanisha na picha zenye madhari ya bongo, au pia ATM slip yenye kuonyesha "available Balance".
 
Nimeshamshauri mimi abadili strategy.

Hii haito-work tena
 
Mkuu unazidiwa hata na marehemu Reginald Mengi

Wakati wewe upo busy kufanya majungu sisi tupo busy ku enjoy maisha. Tutafuteni pesa namna ya kuzitumia ipo nyingi sana.
 
Unatafuta mwanamke mzuri afu mkono wa birika utampata wapi mjini apa, mwanamke ili aonekane classic ela inachangia kiasi kikubwa, atakuwa mzuri wa umbo, sura, bila kugharamika aoge vizuri avae vizuri aendane na wewe utachagua adi uzeeni
 
Back
Top Bottom