Usiende picnic kama huna mwenza, nimeteseka usiku kucha

Jana nilikuwa Viwanja wilaya flani Dodoma sasa sikuwa na demu kwasababu Mimi siyo mkazi wa huku

Sasa Kuna Demu nikamuomba nidance nae akanitolea njee nanyodo juu
Kumbe pale club kulikuwa na Waturuki wamemuhonga tayari
Aisee Waturuki siyo watu wazuri wanatumia pesa Kama wanazitengeneza wao
Sasa wewe na elfu hamsini yako ulitaka ushindane na waturuki mkuu, kweli maajabu hayawezi isha
 
Back
Top Bottom