Usidhani wanawake wenzio wanakupenda

Usidhani wanawake wenzio wanakupenda

Lini ulipiga kura yako na ukakuta imeibiwa na ulijuaje Kama iliibiwa, yaana unaunga mkono uongo wa mtoa mada, watoto azae mtu mwenyewe halafu lawama anataka Apewe mh Rais, hapo bila Shaka mtoa mada ana tatizo linalomsumbua kichwani,kwani hao watoto wengi alila zimishwa kuwa nao
Utawala uliopo sasa haujachaguliwa na wananchi na hata wewe ukiacha unafiki utalikubaliana na mimi, ni watu tu walijitangaza wenyewe kupitia tume yao kwamba wameshinda huo waliouita uchaguzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom