naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
Hiyo inaitwa chuki binafsi, ungejiwakilisha mwenyewe kuliko kusema 90%Siyo wanawake pekee 90% ya watanzania hawampendi
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Hiyo inaitwa chuki binafsi, ungejiwakilisha mwenyewe kuliko kusema 90%Siyo wanawake pekee 90% ya watanzania hawampendi
Dume zima unakuwa limbeya namna hiyo kweli??? ndo maana ke wamekukataa ...hata kama hawampendi mama ni kawaida ya sisi wanawake ndo tulivyo wewe yanakuhusu nini??.......Binafsi sina chuki wala kinyongo, mh rais huku wananchi haswa wanawake hawakupendi na hawakutaki, maana maisha yao ni duni sana, hata kriniki kadi imekua hela, ila kama huamini endelea na mipango yako:
Usidhani wanawake wa Dodoma na Dar ndio wanawake pekee, yaani unavyosema kilimo cha mbolea umetoa ruzuku kuna watu wanashida hata kilo 10, hawawezi kununua, njoo vijijini na mikoani uongee na wanawake wenzio, naamini utalia,
Mama usihangakie wigi Za wanawake wa mjini wanaopikia gesi, njoo uangalie wanawake wanaopikia kuni nyumbani na kutembeza mkaa mjini ila kwake anapikia kuni, nakwambia utalia,
Njoo uone wanawake wenye watoto 7, wadogo wadogo na wengine mgongoni harafu bei ya mafuta ya kura yapo juu utalia chakula wanachokula, chupuchupu dagaa wa maji, huku jina la mwenzio aliefariki likitajwa midomoni mwa watu, unaweza ukalia, ila subiri uone.
Hakuna!! wacha wamchukie tu hawana impact yeyote nchini!! wanaume ndo wenyewe ke tu hawezi fanya kitu!! aongozeeeee mpaka kieleweke tuta muongezea miaka kumi na tano zaidi!Duh! Yaani Samia kaingia juzi tu ndo wanawake wamezaa mara 7!!
Anyway acha wamchukie tu lkn wajuze kuwa wapo na wampendao pia. Wao wavumilie tu akitoka atakuja huyo wanayempenda
Mwehu wewe, nenda kazikwe na diktetaBinafsi sina chuki wala kinyongo, mh rais huku wananchi haswa wanawake hawakupendi na hawakutaki, maana maisha yao ni duni sana, hata kriniki kadi imekua hela, ila kama huamini endelea na mipango yako:
Usidhani wanawake wa Dodoma na Dar ndio wanawake pekee, yaani unavyosema kilimo cha mbolea umetoa ruzuku kuna watu wanashida hata kilo 10, hawawezi kununua, njoo vijijini na mikoani uongee na wanawake wenzio, naamini utalia,
Mama usihangakie wigi Za wanawake wa mjini wanaopikia gesi, njoo uangalie wanawake wanaopikia kuni nyumbani na kutembeza mkaa mjini ila kwake anapikia kuni, nakwambia utalia,
Njoo uone wanawake wenye watoto 7, wadogo wadogo na wengine mgongoni harafu bei ya mafuta ya kura yapo juu utalia chakula wanachokula, chupuchupu dagaa wa maji, huku jina la mwenzio aliefariki likitajwa midomoni mwa watu, unaweza ukalia, ila subiri uone.
Kwani naishi angani?Hiyo inaitwa chuki binafsi, ungejiwakilisha mwenyewe kuliko kusema 90%
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Kazi kweli kweliKabla ya Rais walikuwa wanaishi maisha ya juu zaidi? Na sasa wameshuka chini?
Wazee wako na mababu zako wangezaa wawili una uhakika wewe ungekuwepo?Pole sana ila nani alikuambia uzae watoto saba, kwani kuzaa wawili ulishindwa?
Acha uongo wako, watanzania wengi kweli wanafurahia UONGOZI wa MH. SSH, by 95%,kila kona ya tanzania.Siyo wanawake pekee 90% ya watanzania hawampendi
Labda wewe na mumeo ndiyo mnafurahiaAcha uongo wako, watanzania wengi kweli wanafurahia UONGOZI wa MH. SSH, by 95%,kila kona ya tanzania.
Fanya kazi acha blah blahLabda wewe na mumeo ndiyo mnafurahia
Hehehe! Mipaka iko wazi Samia.harafu bei ya mafuta ya kura
Bei ya unga sembe Kenya leo hii ni shs 4300/-Inasikitisha sana...
Lini ulipiga kura yako na ukakuta imeibiwa na ulijuaje Kama iliibiwa, yaana unaunga mkono uongo wa mtoa mada, watoto azae mtu mwenyewe halafu lawama anataka Apewe mh Rais, hapo bila Shaka mtoa mada ana tatizo linalomsumbua kichwani,kwani hao watoto wengi alila zimishwa kuwa naoNgoja nimalize ubishi, hakuna kiongozi yeyote atakayetolewa na ccm atakayefaa hata awe na jinsia zote mbili, itakuwa ni kazi bure tu.
Nchi gani inatawaliwa na chama kimoja miaka yote hiyo huku kikiiba tu kura kwa sababu kinaogopa kisipoiba kura hakiwezi kuwa madarakani.